Ikiwa KAZI ya Serikali ni kulinda raia, Kwanini Dr Slaa asipewe dhamana na kulindwa?

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
21,625
Reaction score
33,688
Hellow Tanganyika,

Mnajaribu kutuambia umma kwamba uraiani hakuna ulinzi na USALAMA wa raia?

Kwamba korokoroni ndio Mahali salama?

Kwamba tuache nyumba zetu uraiani ,tuje kupata ulinzi murua korokoroni?

Ndugu Bashungwa, majibu tafadhali 🙏

Karibuni!
 
kwa aina ya uropokaji, uzushi na uongo anaousambaza mitandaoni,

korokoroni ni sehemu salama zaidi kwa huyo mzee wilbroad peter slaa 🐒
 
🤣🤣🤣 ila tatzo uzee unamsumbua huyu mwamba wa miaka 2010 kwenye uchafuz mkuu kwa wakat izo ila saivi n dhama ya ubaya ubwela
 
Ni laana nyingi sana zinamchanganya,
mathalani ana laana ya kanisa aliloasi inamsumbua, laana ya usaliti kwa familia yake inamsumbua, laana ya tamaa na uporaji wa wake za watu inamsumbua , laana ya kuisaliti chadema na CCM inamsumbua n.k

atapata tabu sana aise 🐒
 
🤔🤔🤔 atubu tu
 
🤔🤔🤔 atubu tu
sure,
atubu kwa Mungu, kwa kanisa takatifu katoliki la mitume, kwa chadema na CCM na kwa wanaume aliowapora wake zao,

na hiyo inaweza kumpa ahueni ya mahangaiko ya fedheha na laana anayopitia 🐒
 
Ni ujinga tu wa jeshi na dpp hawa watu ifike mahala waje washtakiwe.
Makosa yenye dhamana watuhumiwa wapewe dhamana
 
Waziri wa ulinzi atoke kukemea uongo huu kwamba uraiani hakuna USALAMA Bali korokoroni!
 
Kabisa waziri wa mambo ya ndani na ulinzi wajitokeze kueleza umma wa watanzania kwamba kwa sasa mahala salama zaidi kuishi hapa Tanzania ni kwenye selo za jeshi la polisi na si huku majumbani kwetu
 
Itawezekanaje ikiwa familia za polisi wanaishi uraiani,Si korokoroni!
 
Hellow Tanganyika,

Mnajaribu kutuambia umma kwamba uraiani hakuna ulinzi na USALAMA wa raia?

Kwamba korokoroni ndio Mahali salama?

Kwamba tuache nyumba zetu uraiani ,tuje kupata ulinzi murua korokoroni?

Ndugu Bashungwa, majibu tafadhali 🙏

Karibuni!
Kabisa umewaamini hizo sababu za kumshikilia?
 
Uraiani Kuna usalama wa raia kawaida ila Sasa Mzee kawekwa penye usalama zaidi kwa maslahi yake
 
Back
Top Bottom