kwa aina ya uropokaji, uzushi na uongo anaousambaza mitandaoni,Hellow Tanganyika,
Mnajaribu kutuambia umma kwamba uraiani hakuna ulinzi na USALAMA wa raia?
Kwamba korokoroni ndio Mahali salama?
Kwamba tuache nyumba zetu uraiani ,tuje kupata ulinzi murua korokoroni?
Ndugu Bashungwa, majibu tafadhali ๐
Karibuni!
๐คฃ๐คฃ๐คฃ ila tatzo uzee unamsumbua huyu mwamba wa miaka 2010 kwenye uchafuz mkuu kwa wakat izo ila saivi n dhama ya ubaya ubwelakwa aina ya uropokaji, uzushi na uongo anaousambaza mitandaoni,
korokoroni ni sehemu salama zaidi kwa huyo mzee wilbroad peter slaa ๐
Ni laana nyingi sana zinamchanganya,๐คฃ๐คฃ๐คฃ ila tatzo uzee unamsumbua huyu mwamba wa miaka 2010 kwenye uchafuz mkuu kwa wakat izo ila saivi n dhama ya ubaya ubwela
๐ค๐ค๐ค atubu tuNi laana nyingi sana zinamchanganya,
mathalani ana laana ya kanisa aliloasi inamsumbua, laana ya usaliti kwa familia yake inamsumbua, laana ya tamaa na uporaji wa wake za watu inamsumbua , laana ya kuisaliti chadema na CCM inamsumbua n.k
atapata tabu sana aise ๐
sure,๐ค๐ค๐ค atubu tu
Waziri wa ulinzi atoke kukemea uongo huu kwamba uraiani hakuna USALAMA Bali korokoroni!Ni ujinga tu wa jeshi na dpp hawa watu ifike mahala waje washtakiwe.
Makosa yenye dhamana watuhumiwa wapewe dhamana
Kabisa waziri wa mambo ya ndani na ulinzi wajitokeze kueleza umma wa watanzania kwamba kwa sasa mahala salama zaidi kuishi hapa Tanzania ni kwenye selo za jeshi la polisi na si huku majumbani kwetuWaziri wa ulinzi atoke kukemea uongo huu kwamba uraiani hakuna USALAMA Bali korokoroni!
Itawezekanaje ikiwa familia za polisi wanaishi uraiani,Si korokoroni!Kabisa waziri wa mambo ya ndani na ulinzi wajitokeze kueleza umma wa watanzania kwamba kwa sasa mahala salama zaidi kuishi hapa Tanzania ni kwenye selo za jeshi la polisi na si huku majumbani kwetu
Kabisa umewaamini hizo sababu za kumshikilia?Hellow Tanganyika,
Mnajaribu kutuambia umma kwamba uraiani hakuna ulinzi na USALAMA wa raia?
Kwamba korokoroni ndio Mahali salama?
Kwamba tuache nyumba zetu uraiani ,tuje kupata ulinzi murua korokoroni?
Ndugu Bashungwa, majibu tafadhali ๐
Karibuni!
Yesu mwenyewe hakuwaamini polisi akawaambia waridhike na mishahara Yao,Kabisa umewaamini hizo sababu za kumshikilia?
Sawasawa๐๐ฟ๐Yesu mwenyewe hakuwaamini polisi akawaambia waridhike na mishahara Yao,
Mimi nani niwaamini polisi?