Kuna usemi wa wahenga usemao, dalili za Mvua ni mawingu, namwingine husema, sikio lakufa halisikii dawa. Nisingependa kuandika .
Maisha ni zawadi toka kwa Mungu. Ujana ulitesa maana kipindi kile kiukweli sikuwa team Kikwete niliumia kuona ufisadi. Mungu amlinde Mzee wetu. Amen