Kuna usemi wa wahenga usemao, dalili za Mvua ni mawingu, namwingine husema, sikio lakufa halisikii dawa. Nisingependa kuandika sana ila nia yangu kuufahamisha uma juu ya yale yatatokea baada ya uchaguzi. Jambo la kwanza ni hamu ya watanzania kumuona Dr Slaa anakuwa rais wao.
Hata hvyo ccm wataiba kura ili kumpitisha kikwete namajibu yake ndio haya nayeye kikwete hatodumu. Ni ukwel usio pingika afya ya Kikwete inataka kufanana na Rais wa Naigeria ambaye wanachi hawakumpenda ila akapitishwa kwa nguvu na hatimae hakumaliza Muda wake akafariki, huyo sio mwingine ila ni hayati Rais Yaradua wa naijeria.
Nadhani ndicho chaweza tokea hapa kwetu ikiwa CCM itafanya ujinga. Ningekuwa Kikwete ningejistaafia kwa manufaa ya nchi yangu na serikal yangu lakn kwasababu yauroho wamadaraka anazid kung'ang'ania.
Hivi ni nani ktk maisha yake anaweza kusema aliwah kuona wapi Rais wa nchi ana anguka mbele ya hadhira kama gogo! Kikwete Mungu kamkataa nahakika hawez kuuwongoza uma wa watanzania maana hakubaliki. Tulimpenda miaka mitano ilipita ila sasa akapumzike,simuombei mabaya ila akumbuke Shekh yahaya sio mtabiri peke yake tupo watu twamcha Mungu naye Mungu kutupa mafunuo.
Nasikitika kusema tena serikal yake haitodumu,wala chama chake hakitodumu. Mungu ibariki Tanzania. Mungu wabarik watanzania. Amen.