Umekua shehe Yahya nini?
Kama ni afya weye yako ipo je? hata hivyo hayo ni mambo binafsi ambayo hayatakiwi kujadiliwa. Wewe jadili ahadi zake. Teh teh teh. Ama kwa JK ni halali kujadili mambo binafsi??
Kama ni mambo binafsi kusingekuwa na kifungu kwenye katiba ambacho kinaongelea afya ya rais.Umekua shehe Yahya nini?
Kama ni afya weye yako ipo je? hata hivyo hayo ni mambo binafsi ambayo hayatakiwi kujadiliwa. Wewe jadili ahadi zake. Teh teh teh. Ama kwa JK ni halali kujadili mambo binafsi??
Umekua shehe Yahya nini?
Kama ni afya weye yako ipo je? hata hivyo hayo ni mambo binafsi ambayo hayatakiwi kujadiliwa. Wewe jadili ahadi zake. Teh teh teh. Ama kwa JK ni halali kujadili mambo binafsi??
Hebu tupeni hicho kifungu gani cha katiba kinazungumzia hii issue tukipitie, tuone kama muheshimiwa amepungukiwa sifaKama ni mambo binafsi kusingekuwa na kifungu kwenye katiba ambacho kinaongelea afya ya rais.
Umekua shehe Yahya nini?
Kama ni afya weye yako ipo je? hata hivyo hayo ni mambo binafsi ambayo hayatakiwi kujadiliwa. Wewe jadili ahadi zake. Teh teh teh. Ama kwa JK ni halali kujadili mambo binafsi??
kwenye sera tunaweza kusema sana, lkn mambo ya life and death jamani tumuachie Mungu na israel mtoa roho.
unaweza ukaumona huyo mzima kaanguka tu ghafla na huyu anayechechea akaendelea kudunda. ombea adui yako aishi siku nyingi ili unapobarikiwa naye ashuhudie kwa macho
"Ikiwa kikwete atakuwa rais uwenda asimalize muda wake!"
Jamani tumuachie Mungu ndio ujua nani anaondoka lini? Na kila kiumbe kina siku yake.kwenye sera tunaweza kusema sana, lkn mambo ya life and death jamani tumuachie Mungu na israel mtoa roho.
unaweza ukaumona huyo mzima kaanguka tu ghafla na huyu anayechechea akaendelea kudunda. ombea adui yako aishi siku nyingi ili unapobarikiwa naye ashuhudie kwa macho
"Ikiwa kikwete atakuwa rais uwenda asimalize muda wake!"
Ni ukwel usio pingika afya ya Kikwete inataka kufanana na Rais wa Naigeria ambaye wanachi hawakumpenda ila akapitishwa kwa nguvu na hatimae hakumaliza Muda wake akafariki, huyo sio mwingine ila ni hayati Rais Yaradua wa naijeria.
Kikwete Mungu kamkataa nahakika hawez kuuwongoza uma wa watanzania maana hakubaliki. Tulimpenda miaka mitano ilipita ila sasa akapumzike,simuombei mabaya ila akumbuke Shekh yahaya sio mtabiri peke yake tupo watu twamcha Mungu naye Mungu kutupa mafunuo.
======Jamani tumuachie Mungu ndio ujua nani anaondoka lini? Na kila kiumbe kina siku yake.
Umekua shehe Yahya nini?
Kama ni afya weye yako ipo je? hata hivyo hayo ni mambo binafsi ambayo hayatakiwi kujadiliwa. Wewe jadili ahadi zake. Teh teh teh. Ama kwa JK ni halali kujadili mambo binafsi??
Hapo nilipoweka nyekundu kuhusu Rais wa Nigeria - ndugu wacha uongo, wacha uongo, wacha uongo. Rais Yar'adua alichaguliwa kwa kura, sasa hilo la kutompenda sijui umelitoa wapi. Kama ni kuumwa hilo ni jengine na ye yote anaweza kuumwa na kufa kama alivyokufa yule Rais Mwanawasa wa Zambia.
Jamani hebu mujaribu kusoma magazeti musisikie vitu nusu nusu halafu mukaanza kuunganisha na kuleta historia yenu muliyoiandika wenyewe.
La pili, eti Kikwete Mungu kamkataa - jee wewe uliwasiliana na Mungu akakwambia hivyo? Mungu alikupa ufunuo kakutumia email, fax au barua?
Hukatazwi kumkataa wewe kama Tumainiel lakini usimzulie Mungu katika hili.
Nasikitika kusema tena serikal yake haitodumu,wala chama chake hakitodumu. Mungu ibariki Tanzania. Mungu wabarik watanzania. Amen.
Jamani tumuachie Mungu ndio ujua nani anaondoka lini? Na kila kiumbe kina siku yake.
Eti dada,kwani Kikwete kuanguka mara kwa mara kunasababishwa na nini?Inaelekea unamjua vema from the way unavyomtetea.Tuambizane basi