Elections 2010 Ikiwa kikwete atakuwa rais uwenda asimalize muda wake!

Hata kama wote ni njia moja sawa tu laikini anatulostisha bwana, maana anaharibu hata vizazi vyetu. MIMI SPENDI KUMUOMBEA HAYO NA HATA MSEMAJI HAKUOMBEA AFE NAYE KAWA KAMA SHEHE YAHYA TU> LAKINI MIMI NAOMBEA SAAANA CCM IFE ILI WATOTO WETU WAJ E WAISHI MAISHA MAZURI>
 
acha uchuro wako? hivi huyo DR Slaa anagurantee na Mungu ya kuishi miaka mingapi? na wewe je unajua kuwa kesho utafika? kudondoka ni ishara ya kifo? mbona nakushangaa sana, Kamuuliza Pdidy wa bongo aliumwa?
Dada/kaka anaglia hii video kwa makini halafu tuma kwa wenzako kama 10 then waombe ushauri bye.

 
Last edited by a moderator:

Yar'dua hakuwa pendekezo la wanachi ila wananchi walimchaguwa kwa shingo upande,ilikuwa lazima awe rais. Sitak mabishano ila go and read on wikipedia ujuwe ukweli. Thx
 
Nimeliona hili, wala sitoshanga. Watanzania tumelogwa hakika! Ingekuwa nchi nyingine Urais angeusikia kwenye bomba!
 
Yalisemwa sana juu ya JK, mara ana ukimwi mara yale na yale, lakini mpaka miaka 5 imeisha JK bado anadunda mitaani, kwa hiyo kwa hilo, wananchi hawatalisikia tena kwani ni porojo za kisiasa zaidi, simply, wamewapotezea ki ze origin komedi.
 
unachekesha kweli mzee, Watanzani wapi? Au unamaanisha wanachadema?
 

Sasa mkuu, magazeti ulosoma yanasemaje juu ya raisi wa Nigeria ambae hakukaa sana madarakani?
 
Yalisemwa sana juu ya JK, mara ana ukimwi mara yale na yale, lakini mpaka miaka 5 imeisha JK bado anadunda mitaani, kwa hiyo kwa hilo, wananchi hawatalisikia tena kwani ni porojo za kisiasa zaidi, simply, wamewapotezea ki ze origin komedi.
Wewe usitake kuchekesha watu anadunda wakati mtu mzima yuko chini ya meza

 

Katiba inasema Nuclear Scientist atashika usukani, sasa sijui mwendo utakuwa vipi na safari itakuwaje mpaka hapo 2015!
 
Mimi sizungumzii kuanguka mara kwa mara kwa JK, na wala simjui zaidi ya kuwa ni Rais wa Tz. Lakini hii ya kumzushia Mungu na kusema kwamba mtu fulani amepewa ufunuo ndiyo ambayo sikubaliani nayo.

inaezekana wewe ni mtoto wa kike wa sheikh yahaya, si ndo nyie mnamtibu JK?
 
Jk atadumu as long as sheikh yahya yu hai,sheikh akidodonka ile nguvu isiyoonekana aliyomwekea jk itaondoka pia na huu ndio utakuwa mwisho wa jk. Jf tukumbuke kuwa afya ya sheikh yahya kwa sasa inatazamwa na prezidaa mwenyewe(kumbuka kuwa jk aligharamia matibabu ya sheikh kule india). Jk juuuuuuuu juuuuu zaidi.
 
Kikwete atamaliza mda wake if and only if sheikh yahya ataendelea kuwa hai. Kama sheikh akiondoka(mungu epusha) nguvu ya ulinzi(majini) aliyomwekea jk nayo itaondoka. Jk kwa kulijua hilo ndo maana akagharimia matibabu ya sheikh kule india (mganga hajigangi.
 

Usiwe na shaka Tumaini Urais wa Tanzania kwa mfumo ulivyo sasa ni kazi ya kupumzika tu. Hivyo Kikwete anaweza kabisa kumaliza ngwe ya miaka mitano ijayo kwani kuanguka hajaanza juzi. Hata mwaka 2005 wakati wa kuhitimisha kampeni ya CCM pale jangwani alianguka pia. Lakini hilo halikumzuia kumaliza miaka mitano.
 
Ajue bwana Mungu Kwa mzima kuwa mfu mgonjwa kuwa salama. Japo kuwa na kiongozi Mgonjwa ni shida hasa ktk Mamuzi yake, Uwezo wa mamuzi unapungua sana, anakuwa na hofu wakati wote. Shida ni kwamba kama anaumwa na hataki watu wajue anaumwa anaweza angamiza nchi kwa kutoa mamuzi ya ajabu hasa kwa wale wanao tilia shaka afya yake. lkn pia kwa kuto kubali status yake inaweza mpunguzia siku za kuishi.
Tumwachie Mungu, huku tukifanya mamuzi sahihi katika sanduku la kula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…