Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Nyusi alikuwa anaenda kupumzika Chato
Au labda Magufuli alimpa Nyusi upuuzi kuhusu ulinzi na usalama kati ya nchi zetu ambao mama ameenda kuubatilisha katika hiki kinaitwa makataba wa amani na usalama. KUmbuka ni huyu Magufuli alisaini kitu kama hicho na Israel na Morocco, tofauti na msimamo wa viongozi wa huko nyumaNyusi alienda Chato na tukaambiwa kuna makubaliano ya ulinzi na Usalama yaliweza kusainiwa na Hayati Magufuli, labda kuna Amendments zimefanyika Kati ya Tanzania na Msumbiji katika huo Mkataba
Hata waume zenu jogoo zikishindwa kupanda mtungu mtamlumu jiwe!Jiwe hakufaa kuwa Rais kabisa, sipati picha mpk leo angekuwepo, tungevunja mahusiano na nchi nyingi sababu ya kiburi chake Cha kishamba
Kwakuwa wewe ni mwanamke unahisi na sisi pia ni jinsia yako bibie!Hata waume zenu jogoo zikishindwa kupanda mtungu mtamlumu jiwe!