Mkuu the
Big Eagle , kwanza asante kwa kutukumbusha "Mwandishi Huyu wa 1980s", kitendo cha kutomtaja ni mwandishi gani, wa wapi na maneno hayo aliyaandika wapi, sio tuu unakuwa hujawatendea haki wasomaji, bali unakuwa hukitendei haki, chombo chetu cha utoaji haki kwa ku insinuate kuwa uamuzi umeisha fanyika hivyo hii kesi ni kesi tuu ya kubambikiza kuhalalisha, kitu ambacho sio kweli na sio kitu kizuri.
Maandishi yoyote yaliyoandikwa na kuwa printed, hii ni kazí ya mtu, inaitwa, literacy work, hivyo kazí zote za uandishi, maandishi, zinalindwa na sheria ya copy right law, mtu huwezi kujichukulia tuu na kutumia bila idhini ya mhusika, ukitumia au uki quote sehemu kazi ya maandishi yoyote bila idhini ya publisher ni wizi tuu wa plagialism na unachukuliwa kama mwizi mwingine yoyote.
Namna ya kutumia kazí ya maandishi yoyote kwa nia njema bila kuonekana mwizi ni kwa kutoa kitu kinachoitwa accreditation, unatoa credits ya kule uliko yachukua hayo maandishi.
Hivyo na wewe leo umefanya wizi wa plagiarisim, wewe ni plagialist, ume plagialize andishi kutoka ukurasa wa 163, kwenye kitabu cha Summons - Poems from Tanzania , kilichochapishwa na Tanzania Publishing House (TPH) ya Dar Es Salam, mpaka 1980.
Acha wizi!
P