Ikiwa leo ni hukumu ya Mbowe na wenzake, anatukumbusha mwandishi huyu wa 1980

Na ushahidi pekee walio nao upande wa Jamhuri ni hayo maelezo yanayobishaniwa, yakikataliwa hamna kesi tena,DPP ataamua tu kuiondoa kesi mahakamani.
 
wizi ni noma sana, Mayala (Njaa) umeamua KUMWAGA MBOGA... AHAAAAAAA
 
Ebu tuelimishane met wangu,wakati tunafanya disertation/reseach tulikuwa tuna quote na kufanya reference za waandishi wengine kwa mantiki hiyo tulikuwa tunaiba au just plagialize.
 
Ebu tuelimishane met wangu,wakati tunafanya disertation/reseach tulikuwa tuna quote na kufanya reference za waandishi wengine kwa mantiki hiyo tulikuwa tunaiba au just plagialize.
Mkuu máte katitu , kwanza tukumbushana ni mate wa enzi zipi?. Pili asante kuzungumzia wizi wa literacy work kwenye disertations, watu wanaongoza kwa plagialism na ku plagialize ni wasomi kwenye research and disertation za vyuo vikuu, ndio maana tuna baadhi ya wasomi hadi Ph.D level lakini they don't deliver to march their intelligence, hata bungeni si tuna waona!, kuna baadhi ya wasomi wetu, hata darasa la saba ni afadhali, niliwahi kushauri, Kijaji, Mhe. Livingstone Lusinde na Mhe. Joseph Kasheku Musukuma ambao ni darasa la saba, wapewe Ph.D.

Ukiisha fanya refference inakuwa sio wizi tena.

Nchi za wenzetu wanatumia a specific computer program to detect plagialism, mwana jf mwenzetu mtu wa IT, akaichukua Ph.D thesis ya jamaa mmoja, akaitumia kuipima, majibu akayamwaga humu jf, kilichofuatia naomba tusikizungumze humu maana..., yaani wabongo wana plagialize hadi Ph.D thesis!.
P
 

The trial​



Finally,
The judge will take his place
And the accused,
The complainant
And the onlookers:
All will know where to be - and
Justice will be meted out
Even before the trial.
Umeandika kitabu kizima.

Mwenye akili anaelewa.

Subiri waje kukuchambua wewe badala ya kuchambua mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…