Ikiwa makato kwenye miamala ya simu, LUKU na mabenki hayatabadilika nini kifanyike?

Ikiwa makato kwenye miamala ya simu, LUKU na mabenki hayatabadilika nini kifanyike?

Nashauri wanainchi tukiamshe tuu hapa hakuna namna. Naamini AFANDE MABE atatuunga mkono anasubiri kinuke a take over....
 
Kama barabara, afya, maji, na yote aliyotaja Ndugai yanafanywa na tozo ya miamala; kodi nyingine zinafanya kazi gani?
Ndugai ni mmoja wa watu wanaomhujumu Rais kwa kauli zake za kumfitinisha na wananchi, hasa pale alipowaambia watanzania kuwa lazima watozwe kodi kwa lazima, watake wasitake.
 
Back
Top Bottom