Kamakabuzi JF-Expert Member Joined Dec 3, 2007 Posts 2,903 Reaction score 1,360 Aug 31, 2021 #21 Kama barabara, afya, maji, na yote aliyotaja Ndugai yanafanywa na tozo ya miamala; kodi nyingine zinafanya kazi gani?
Kama barabara, afya, maji, na yote aliyotaja Ndugai yanafanywa na tozo ya miamala; kodi nyingine zinafanya kazi gani?
Murashani GALACTICO JF-Expert Member Joined Feb 27, 2012 Posts 2,511 Reaction score 5,390 Aug 31, 2021 #22 Nashauri wanainchi tukiamshe tuu hapa hakuna namna. Naamini AFANDE MABE atatuunga mkono anasubiri kinuke a take over....
Nashauri wanainchi tukiamshe tuu hapa hakuna namna. Naamini AFANDE MABE atatuunga mkono anasubiri kinuke a take over....
tpaul JF-Expert Member Joined Feb 3, 2008 Posts 24,225 Reaction score 22,632 Aug 31, 2021 Thread starter #23 Kamakabuzi said: Kama barabara, afya, maji, na yote aliyotaja Ndugai yanafanywa na tozo ya miamala; kodi nyingine zinafanya kazi gani? Click to expand... Ndugai ni mmoja wa watu wanaomhujumu Rais kwa kauli zake za kumfitinisha na wananchi, hasa pale alipowaambia watanzania kuwa lazima watozwe kodi kwa lazima, watake wasitake.
Kamakabuzi said: Kama barabara, afya, maji, na yote aliyotaja Ndugai yanafanywa na tozo ya miamala; kodi nyingine zinafanya kazi gani? Click to expand... Ndugai ni mmoja wa watu wanaomhujumu Rais kwa kauli zake za kumfitinisha na wananchi, hasa pale alipowaambia watanzania kuwa lazima watozwe kodi kwa lazima, watake wasitake.