Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
MkuuKuna yule Mama kakataa Gari la mwanaye na kuliita ni Jeneza, kwani anayajua matendo machafu ya Mwanawe!!.
Embu tuvirejee vifoo vya makamanda huko nyuma tukianza na Wangwe !!.
Mambo ya Wangwe ni uzushi tu wa CCM.Kuna yule Mama kakataa Gari la mwanaye na kuliita ni Jeneza, kwani anayajua matendo machafu ya Mwanawe!!.
Embu tuvirejee vifoo vya makamanda huko nyuma tukianza na Wangwe !!.
WAtayasema yoteKuna yule Mama kakataa Gari la mwanaye na kuliita ni Jeneza, kwani anayajua matendo machafu ya Mwanawe!!.
Embu tuvirejee vifoo vya makamanda huko nyuma tukianza na Wangwe !!.
Na ni CCM ndiyo walimuua. Wangwe ili kumwangushia jumba bovu Mbowe.Mambo ya Wangwe ni uzushi tu wa CCM.
Mbowe ndo alimua pia akajaribu Kwa Lisu Kisha kuwaangushia jumba bovu JPM na CCMNa ni CCM ndiyo walimuua. Wangwe ili kumwangushia jumba bovu Mbowe.
Mwenye kumiliki hiyo nyumba ni Serikali au ni Mbowe?Kuna yule Mama kakataa Gari la mwanaye na kuliita ni Jeneza, kwani anayajua matendo machafu ya Mwanawe!!.
Embu tuvirejee vifoo vya makamanda huko nyuma tukianza na Wangwe !!.
Uwaulize hao CCM ya Mtikila wakijibu ni tag.Mambo ya Wangwe ni uzushi tu wa CCM.
Kama ni hivyo basi huyu Mbowe yuko juu ya serikali yote ya CCM kiasi anaua watu na kuisingizia serikali nayo serikali inamgwaya huyu Mbowe ni mtu very powerful hadi kaiweka serikali ya CCM mfukoni mwake.Mbowe ndo alimua pia akajaribu Kwa Lisu Kisha kuwaangushia jumba bovu JPM na CCM
Vipi kuhusu waraka wake? Mbona kama vile ndio chanzo cha kifo chake ukiusoma vizuri ukauelewa?Mambo ya Wangwe ni uzushi tu wa CCM.
Anajua siri nyingi za hatari alizoshirikiana nao.Kama ni hivyo basi huyu Mbowe yuko juu ya serikali yote ya CCM kiasi anaua watu na kuisingizia serikali nayo serikali inamgwaya huyu Mbowe ni mtu very powerful hadi kaiweka serikali ya CCM mfukoni mwake.
Hizo camera hazikuwa kwenye nyumba hiyo zilikuwa nyumba ya jirani hata hivyo hilo la camera siyo la msingi, la msingi ni la kwanini walinzi waliondolewa kwenye LINDO, pia ninani aliwapangia zamu Ndiyo hapo tunaanza kusikia harufu ya panyaKuna yule Mama kakataa Gari la mwanaye na kuliita ni Jeneza, kwani anayajua matendo machafu ya Mwanawe!!.
Embu tuvirejee vifoo vya makamanda huko nyuma tukianza na Wangwe !!.
CCM walifanya timing tu kuwa kwa varangati lile wakifanya jambo lazima litamwangukia Mbowe,ila walishindwa katika hilo na walipata aibu kwenye uchaguzi mdogo kujaza nafasi ya Chacha wangwe kule Tarime waliwachochea Wakurya kwa propaganda dhaifu sana ambazo zilibuma na wakaiadhibu tena CCM kwa kuchagua tena mbunge toka Chadema,na mtu aliyepewa kandarasi ya kusambaza hizo propaganda alikuwa Marehemu Christopher Mtikila ndiyo maana Wakurya walimpiga jiwe kichogoni manusra wamtoe roho.Vipi kuhusu waraka wake? Mbona kama vile ndio chanzo cha kifo chake ukiusoma vizuri ukauelewa?
Kwa nini ukigombea uenyekiti CDM unakuwa adui wa Mbowe na genge lake?
Uadui unakuwa mkubwa wa kiwango cha kutishia hata usalama wako.
Tatizo akikamatwa atasingizia ukandamizwaji wa demokrasia hata kesi yake ya mwaka juzi si nusu afungwe ila ni huruma za mama Samia tu?Kama ni hivyo basi huyu Mbowe yuko juu ya serikali yote ya CCM kiasi anaua watu na kuisingizia serikali nayo serikali inamgwaya huyu Mbowe ni mtu very powerful hadi kaiweka serikali ya CCM mfukoni mwake.
TISS wana majibu yote, hivi kwa nini polisi hawayashughulikii hayo? Wanalinda serikali pamoja na chama tawala au wanamlinda Mbowe?Kuna yule Mama kakataa Gari la mwanaye na kuliita ni Jeneza, kwani anayajua matendo machafu ya Mwanawe!!.
Embu tuvirejee vifoo vya makamanda huko nyuma tukianza na Wangwe !!.