M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 2,818
- 8,465
Nani anazuia upelelezi usifanyike? Ni Mbowe au serikali?Mkuu
Kila jambo limeanza kujifunua sasa.
Ni suala la muda tu
We ain't fools.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani anazuia upelelezi usifanyike? Ni Mbowe au serikali?Mkuu
Kila jambo limeanza kujifunua sasa.
Ni suala la muda tu
Kuna dada yake mbowe alikufa kwa ajali segera akitokea moshi to dar straight to lumumba kukabidhiwa kadi ya ccm na pole pole,sasa hivi naanza kuamini kilichokua kinasemwa kipindi cha lile tukioMambo ya Wangwe ni uzushi tu wa CCM.
Lakini wakaja sanuka 2020CCM walifanya timing tu kuwa kwa varangati lile wakifanya jambo lazima litamwangukia Mbowe,ila walishindwa katika hilo na walipata aibu kwenye uchaguzi mdogo kujaza nafasi ya Chacha wangwe kule Tarime waliwachochea Wakurya kwa propaganda dhaifu sana ambazo zilibuma na wakaiadhibu tena CCM kwa kuchagua tena mbunge toka Chadema,na mtu aliyepewa kandarasi ya kusambaza hizo propaganda alikuwa Marehemu Christopher Mtikila ndiyo maana Wakurya walimpiga jiwe kichogoni manusra wamtoe roho.
Kuna yule Mama kakataa Gari la mwanaye na kuliita ni Jeneza, kwani anayajua matendo machafu ya Mwanawe!!.
Embu tuvirejee vifoo vya makamanda huko nyuma tukianza na Wangwe !!.
Na akili zako timamu unaamini Mbowe anaweza kutoa amri walinzi wa serikali waondolewe masaa kadhaa kabla ya Lissu kushambuliwa?Tatizo akikamatwa atasingizia ukandamizwaji wa demokrasia hata kesi yake ya mwaka juzi si nusu afungwe ila ni huruma za mama Samia tu?
Uandishi mbovu huu.Kuna yule Mama kakataa Gari la mwanaye na kuliita ni Jeneza, kwani anayajua matendo machafu ya Mwanawe!!.
Embu tuvirejee vifoo vya makamanda huko nyuma tukianza na Wangwe !!.
Kwahiyo tuombee ashindwe sio?Ni suala la muda tu,tutasikia mengi sana baada ya huo uchafuzi hasa Lissu akishindwa.
Anaweza asitoe amri ila akala nao njamaNa akili zako timamu unaamini Mbowe anaweza kutoa amri walinzi wa serikali waondolewe masaa kadhaa kabla ya Lissu kushambuliwa?
Kwa nini hajakamtwa au huo ushahidi kwa nini usiupeleke? punguzeni uchoko humuUkikaa ukatafakar vzur kabisa,utaelewa kuwa kambowe nako ni kauwaji
TISS na special kitengo cha utekaji na uuaji ndani ya jeshi la polisi.Waulize Polisi na Kalemani
Who is 'WE'?Nani anazuia upelelezi usifanyike? Ni Mbowe au serikali?
We ain't fools.
Halafu? 😂😂Mdomo uliponza kichwa...
Ninachoelewa nyumba ni ya Serikali na Mbowe alipewa kama Kiongozi wa Upinzani Bungeni (KUB).