IMEKUPONYOKA....! kwanini ushike chumvi nyingi kiganjani wakati wa kutia kwenye chungu?Kama wenza mpo sikunyingi, siku akizisha chumvi, kumwambia wala haiwi kesi.
Mfano: Mama nanii hii mboga leo chumvi imezidi, na yeye hawezi jisikia vibaya, maana siku zingine mbona humwambii.
Yeye atajibu samahani, leo imeniponyoka, kwishaa.
KWanza elewa mimi mwanamme ndugu yangu, pia swali limetuuliza sisi wanaume sasa ukiniuliza swali la kujibu mke najua unania ya kunivunjia heshima kwa maksudi, kitu ambacho hakukubaliki.IMEKUPONYOKA....! kwanini ushike chumvi nyingi kiganjani wakati wa kutia kwenye chungu?
Samahani mkuuKWanza elewa mimi mwanamme ndugu yangu, pia swali limetuuliza sisi wanaume sasa ukiniuliza swali la kujibu mke najua unania ya kunivunjia heshima kwa maksudi, kitu ambacho hakukubaliki.
Nimeeleza mimi na mwenza wangu jinsi tunavyoishi, imepotokea mke kaweka chumvi nyingi kwenye mboga, sijibii wengine kila mtu na nyumba yake.
Nimeipokea, nimekusameheSamahani mkuu
Usifie hata kwenye ujinga?Poleni na mfungo wakuu,
👉Kama tunavyojua wanawake wameumbwa na hulka ya kusifiwa
👉Na pia ni emotional oriented "
👉Kwenye suala la upishi huwa wanapenda sana wapewe credit
Endapo mwanamke wako atazidisha chumvi kwenye maakuli ni lugha utatumia kufikisha ujumbe ili usimkwaze
👉Aya tutiririke hapo wakuu
Ningekua mimi kwema ni kwenye" "good mood" ningesema" msosi upo kwenye mama Ila salt scale🤗 kidogo ifanyie umejisahau but Food ni iko vizuri"
👉Nikiwa na mood mbaya ningemwambia "kazi kutap tap tik tok tu kutafuta likes😂Ila chumvi kwa mboga tele kama coco beach" (jokes)