Kama wenza mpo sikunyingi, siku akizisha chumvi, kumwambia wala haiwi kesi.
Mfano: Mama nanii hii mboga leo chumvi imezidi, na yeye hawezi jisikia vibaya, maana siku zingine mbona humwambii.
Yeye atajibu samahani, leo imeniponyoka, kwishaa.
Kuna watu wanapenda ku complicate maisha. Mimi sidhani km kuna issue kumwambia mkeo kazidisha chumvi au wali una kiini. Kama mtu anaogopa kusema humo ndani pachungu
Kuna watu wanapenda ku complicate maisha. Mimi sidhani km kuna issue kumwambia mkeo kazidisha chumvi au wali una kiini. Kama mtu anaogopa kusema humo ndani pachungu