Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu wanapenda ku complicate maisha. Mimi sidhani km kuna issue kumwambia mkeo kazidisha chumvi au wali una kiini. Kama mtu anaogopa kusema humo ndani pachunguKama wenza mpo sikunyingi, siku akizisha chumvi, kumwambia wala haiwi kesi.
Mfano: Mama nanii hii mboga leo chumvi imezidi, na yeye hawezi jisikia vibaya, maana siku zingine mbona humwambii.
Yeye atajibu samahani, leo imeniponyoka, kwishaa.
Hamna shida unamwambia tu, nae anajua leo nimekosea, maisha yanaendelea.Kuna watu wanapenda ku complicate maisha. Mimi sidhani km kuna issue kumwambia mkeo kazidisha chumvi au wali una kiini. Kama mtu anaogopa kusema humo ndani pachungu