Ikiwa msafara wa rais utakutana na Ambulance(gari la wagonjwa)nani atampisha mwingine?...

Ikiwa msafara wa rais utakutana na Ambulance(gari la wagonjwa)nani atampisha mwingine?...

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Posts
448
Reaction score
409
Kote ulimwenguni gari LA wagonjwa likiwa Lina mgonjwa na limewasha king'ora halipaswi kusimamishwa na yeyote

Na ikiwa litakutana na msafara was rais,je nani atampisha mwingine au litasubiri mgonjwa azidi kuzidiwa!na hasa main road ikiwa moja kama Mwanza au Kahama.

Wana JF tupeane uzo3fu

Instagram:kaukwaju
 
we jamaa thread zako bana!
yani mi huwa nasoma titles navunjika mbavu!
inakuwa kama ile watu wapo kimyaaaaaaaaaaaaaaaaaaa af we unaibuka na swali lako!
AHAHAHHAHAHAHHAA long live JF!
kuna burudani za kila aina wallahi!
 
Kipindi cha utawala wa JK kuna tukio lilitokea Dar wakati Abbas Kandoro akiwa mkuu wa mkoa.

Wakati JK alikuwa anajiandaa kwenda kwenye shughuli zake, askari wa usalama barabarani walikuwa wakifanya maandalizi kwa kuzuia magari ili kupisha msafara wa mkuu wa nchi.
Ikatokea mitaa ya kariakoo kulikuwa na purukushani kati ya mgambo wa jiji na Wamachinga/wafanyabiashara wadogo wadogo kilichotoke siku hiyo ni kuwa wamachinga walijiandaa kupambana na mgambo wa jiji wakiwa na dhamira ya kuchoma gari la mgambo na kupambana nao.

Mgambo wa jiji walikuwa na gari lao fulani lilikuwa na nyavy nyavu walizidiwa nguvu na wamachinga na jamaa walidhamiria kuchoma gari lao kwa petroli zilizokuwa kwenye chupa kama mabomu.
Nakumbuka nilishuhudia gari ya jiji ikiwa na mgambo ikikimbia na kuingia barabarani wakikimbia wamachinga muda huo huo msafara ulikuwa ukikaribia, polisi walichanganyikiwa na baada ya dakika chache mkuu akapita ila ilibidi dereva wa mgambo awekwe ndani akahojiwa kwa kuingilia msafara wa mkuu baadae akaja kutolewa na wakamwachia baada ya kugundua alikuwa katika harakati za kujiokoa maisha yake na wenzake pamoja na usalama wa chombo cha jiji.

Nimetoa mfano wa mambo yanayoweza kuathiri msafara wa mkuu wa nchi
 
Back
Top Bottom