Ikiwa msafara wa rais utakutana na Ambulance(gari la wagonjwa)nani atampisha mwingine?...

Ikiwa msafara wa rais utakutana na Ambulance(gari la wagonjwa)nani atampisha mwingine?...

kama hiyo ambulesi imembeba aliepata ajali kwa kukimbiza bodaboda, atajiju.
 
Mi hua najiuliza vipi ukikutana na gari bovu barabarani limezima na pande zote hakuna mahala pa ku park je watapita upande mmoja wa barabara au vipi
mwenye gari bovu atasalimiana na hao jamaa wanaojulikana kama "wasiojulikana"
 
Ambulance lazima ipishe msafara wa Raisi,Raisi ,ni RAIA wa kwanza kwa ubora,
Bora RAIA wengine wage,kuriko raisi,
Wage...kuriko....Unaonyeshaa hujielewii kabisaa! Kwenye suala la uhai hakuna Alieboraa kuliko mwingine
 
Haiwezi kutokea msafara wa rais ukakutana na ambulance hata siku moja maana msafara wa rais unavyotoka hapo ujue barabara yote nyeupeeee hiyo ambulance itatoka wapi sasa
mmmmm rais wa Tanzania !wa Botswana hahitaji msafara yeye anatumia pikipiki na anajiendesha mwenyewe!!
 
Iko hivi na ndivyo ilivyo...kama Ambulance imembeba Lissu,lazima ikae pembeni..

ila ikitokea imembeba Kigwangallah,hapo kuna mawili;wataungana kwenye msafara au watapishana...ni hivyo tu.
 
Mwezi machi mwaka huu nikiwa nasindikiza mgonjwa kwenye ambulance tulianza kukutana na police wakizuia magari kutokana na msafara wa makamu wa Rais, Samia.
Kufika msituni(kati ya mafinga na nyololo) tukakutana na msafara wa makamu wa Rais. Dereva wa Ambulance akapaki pembeni msafara ulivyopita tukaendelea na Safari
 
Kote ulimwenguni gari LA wagonjwa likiwa Lina mgonjwa na limewasha king'ora halipaswi kusimamishwa na yeyote

Na ikiwa litakutana na msafara was rais,je nani atampisha mwingine au litasubiri mgonjwa azidi kuzidiwa!na hasa main road ikiwa moja kama Mwanza au Kahama.

Wana JF tupeane uzo3fu

Instagram:kaukwaju
hiyo ambulance ina upana gani wa kushindwa kupita katika line yake.. mpaka line ya upande wa pili usimame umpishe apite?? wote watapita kama kawaida watapishana kama gari zingine zinavypishana au unazan msafara wa raisi gari zinazagaa barabara yote
 
Gari la Rais linawekwa katikati kati ya magari mawili wakiwa kwenye msafara I mean left na right huwa kuna magari mawili moja wapo ni la polis
 
Haiwezi kutokea msafara wa rais ukakutana na ambulance hata siku moja maana msafara wa rais unavyotoka hapo ujue barabara yote nyeupeeee hiyo ambulance itatoka wapi sasa
Zinakutana na inabidi rais alipishe ile ni emergency inaweza onekana iko wazi Lakin huwezi jua mtu anazidiwa saa ngapi na rais anapita saa ngapi?
 
Back
Top Bottom