ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Nyie wachungaji ambao mnatoa huduma ya maombezi Kwanini msiponyeshe watu wanaoumwa Kama mnajisifu mna tumia nguvu ya yesu.maana ishu hapa Sio kufanya miujiza hata farao na watu wake walifanya maajabu lakini Sio ya nguvu ya Mungu.kwa hiyo acheni kuibia watu kwa kuwa wanataka maponyo.mbona hatuoni mkaenda hospitali Ina maana wagonjwa kule wamekosa Imani?