Ikiwa Mungu anaponya watumishi na manabii mngeenda mahospitali

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Nyie wachungaji ambao mnatoa huduma ya maombezi Kwanini msiponyeshe watu wanaoumwa Kama mnajisifu mna tumia nguvu ya yesu.maana ishu hapa Sio kufanya miujiza hata farao na watu wake walifanya maajabu lakini Sio ya nguvu ya Mungu.kwa hiyo acheni kuibia watu kwa kuwa wanataka maponyo.mbona hatuoni mkaenda hospitali Ina maana wagonjwa kule wamekosa Imani?
 
Kumbe jibu unalo.... Alafu unauliza!!!

Iman yako ndio itakuponya mkuu.

Tena wanaoibiwa kwa kotoa hela acha waibiwe tu, maana wajinga ndio waliwao.
Nyie wachungaji ambao mnatoa huduma ya maombezi Kwanini msiponyeshe watu wanaoumwa Kama mnajisifu mna tumia nguvu ya yesu.maana ishu hapa Sio kufanya miujiza hata farao na watu wake walifanya maajabu lakini Sio ya nguvu ya Mungu.kwa hiyo acheni kuibia watu kwa kuwa wanataka maponyo.mbona hatuoni mkaenda hospitali Ina maana wagonjwa kule wamekosa Imani?
 
But pole sana, kwa kuwa na roho isio amini kuwa Mungu yupo.

My frnd watumish wa Mungu wa kweli wapo duniani, lakini niwachache.

Biblia imeandikwa.
Mpumbavu hujifaliji kwa kusema hakuna Mungu.
 
Back
Top Bottom