danhoport
JF-Expert Member
- May 20, 2020
- 1,984
- 4,502
Kwema humu jamani, kwa nia njema tu sio kama nakufuru nauliza ili na mimi nipate kujua, ilikuaje mpka leo Sir God hajamsamehe Shetani, mana naambiwaga Shetani alimkosea Mungu lakini sikumbuki kama Mungu alimsamehe. Je Mungu bado ana kinyongo na Shetani?