Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NSSF pesa zinalipwa monthly.. imekuwaje mwajiri mmeachana na bado hajaweka pesa?
Kwamba inawezekana kuvusha mwezi pasipo kupeleka michango? Na hawa staff wa NSSF wanaopiga doria maofisini kukagua risiti hard copies hawakumfikia mwajiri wako?
Yes niliandika mkuuHapa tu ukishusha detail za mwajiri wako unapata haki yako cha msingi Nssf ndo wangekupa muongozo, na uliandika barua kujulisha kwamba mkataba wako unakwisha wakulipe stahiki zako? Kampuni nyingi pesa hawapeleki Nssf has hizi uchwara ila ukiwaletea mkwara wanakuingizia zote kwa pamoja
NSSF pesa zinalipwa monthly.. imekuwaje mwajiri mmeachana na bado hajaweka pesa?
Kwamba inawezekana kuvusha mwezi pasipo kupeleka michango? Na hawa staff wa NSSF wanaopiga doria maofisini kukagua risiti hard copies hawakumfikia mwajiri wako?
Puga barua, nenda kwa wanasheria hili linawezekana kabisaNa hapokei sm, hajibu email wala WhatsApp
Very possible Sis, imetokea kwa mama yangu.NSSF pesa zinalipwa monthly.. imekuwaje mwajiri mmeachana na bado hajaweka pesa?
Kwamba inawezekana kuvusha mwezi pasipo kupeleka michango? Na hawa staff wa NSSF wanaopiga doria maofisini kukagua risiti hard copies hawakumfikia mwajiri wako?
Nenda ofis za nssf zilizo karibu wakupe muongozi. Ikibidi omba kuongea na manager. Au piga simu 0800116773 ya customer care.Wakuu , naomba muongozo ni hatua gani sahihi za kuchukua endapo mwajiri hataki kukuwekea pesa yako NSSF na tayari mmeachana vizuri.
Umri wa mwajiriwa umeshafika 60 yrs
Ila mwajiri hataki kuingiza pesa nssf?