Hapana hawezi kupata mpaka astaafu au afukuzwe kazi na siyo ku resign. Hata kama huko private sector angekuwa alifuzwa basi angepata endapo tu angekuwa hajapata kazi sehemu nyingine. Napo angelipwa 33.3% ndani ya mwaka mmoja kwa miezi sitaMkuu mwanangu alikuwa private amepata kazi serikalin je anaweza kupewa michango yake ya nssf?