Mzee Shirimaa
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 1,539
- 3,456
Wapo wachache wenye utu ni kweli ila walitokea ukanda wa Mara kweli wametumwa pesa
Mkopo kwa biashara mpya huwa ni mtihani Sana kusonga
atajiunga simbanking mpunga ukiingia anavuta wote wanabaki na kadi yao kama pambo usicheze na walimu aiseeππππππBasi wachukue hiyo kadi na ili kila hela ikingia kwenye Akaunti yako wachukue kiasi hadi hapo deni lao litakapoisha.
Tahadhari usiwape namba yako ya siri na ingependeza kama mtakubaliana kuwa utakuwa unalipa kiasi gani kwa mwezi.
Waalimu wana nafuu kwa sababu ana ulinzi na ajira yake pia akistaafu ana kiinua mgongo kwa hiyo ujanani anaweza kuupiga mwingi akiwa na uhakika na kuzeeka vyema.Hiii hali wanayo waalimu wengi sana.
Waalimu wana nafuu kwa sababu ana ulinzi na ajira yake pia akistaafu ana kiinua mgongo kwa hiyo ujanani anaweza kuupiga mwingi akiwa na uhakika na kuzeeka vyema.Hiii hali wanayo waalimu wengi sana.
Kwenye situation kama hizi lazima utafute possibility la sivyo utalala na njaa wakati account ni yako na una njia nyingi ya kuaccess na kucontrol hata bila ya kuwa na kadi unamuacha apambane na kadi akikuuliza mbona mshahara hauingii unamwambia nina adhabu miezi miwili then unatia huruma tena akupe hela ya kusurvive townatajiunga simbanking mpunga ukiingia anavuta wote wanabaki na kadi yao kama pambo usicheze na walimu aiseeππππππ
Huyu Mwalimu ndo anastahili degree ya heshima ya uchumi trust me.Kuna mwalim mmoja alikua anachukua elf 22 mwisho wa mwezi Kama salary yake.
Hii nchi inakadiriwa kuwa na wananchi milioni 60+ sio fair kuona kila mwajiriwa anayelalamikia maslahi kuwa ni MwalimuMtoa mada utakua Teacher kondeee
Hzi microfinance za mtaani ndo zimeshikilia kadi za benk za walim karbia wote.
NiceUjue sasa kuwa mwanaume si jambo dogo,
Utaolewa na wanaokudai
Labda aliweka kalio πππWakati unakopa ni mali au vitu gani uliviweka kama dhamana?