Ikiwa ndani ya chadema wanaolipwa mshahara hawafiki watu 20 je ile ruzuku mil 300 ambayo chadema walikuwa wakiipokea mwaka 2015 -2020 ilienda wapi?

Ikiwa ndani ya chadema wanaolipwa mshahara hawafiki watu 20 je ile ruzuku mil 300 ambayo chadema walikuwa wakiipokea mwaka 2015 -2020 ilienda wapi?

Manfried

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2024
Posts
1,288
Reaction score
4,074
Nimeshangaa juzi kumsikia MTU anayejiita Mbowe , Kwa kusema moja ya faida ya maridhiano ni chama kupata ruzuku ambayo ni bil 1 .6 iliyotumika kununua jengo ambalo ndo ofisi ya chadema na makao makuu HQ .


Swali ikiwa mlikuwa mnapata ruzuku mil 300 Kwa kipindi cha miaka 5 ambayo ni sawa na Bil 18 +

Je hizo pesa mlizitumia kufanya shughuli gani ?


Na mwaka 2016-2020 mikutano ambayo ilijumuisha mikusanyiko ya nje ilikuwa ipo banned. Imepigwa marufuku.

Na bado mlikuwa na wabunge wengi Sana ambao inasemekana walikuwa wakichangia mil 1 kila mbunge .


Napenda kujua hizo pesa zilifanya Kazi gani.

Kama mlilipa madeni je mlikopa pesa kiasi gani?


Na michango ya wanachama ilikuwa kiasi gani.

Kiufupi nina maswali mengi Kwa Chadema .
 
Back
Top Bottom