Jerlamarel
JF-Expert Member
- Sep 14, 2021
- 843
- 2,525
Kama unategemea mabadiliko kwenye tume ya jecha utarudi 2026 na comment chungu zaidi ya hii 😂😂😂😂😂😂!!! Huwezi kutegemea matokeo tofauti kwa kutumia njia ile ile.Ni wakati wa sisi sasa kubadilisha mfumo wa serikali hii mbovu....
Sasa kwa hali ya uchumi ilivyo ni mzigo tosha kwa mwananchi, na mfumuko wa bei ulivyo kwa sasa, then wewe kama kiongozi bado tena unakuja kuwaongezea mzigo wa VAT mara 2 hakuna jina jingine la kukupa zaidi ya "MUUAJIView attachment 2342857
Picha hapo juu inajieleza. Tafsiri nyepesi ya hizi tozo ni kwamba VAT imepanda mara 2. Zile stori za sijui nchi ni yetu sote, tunajenga nchi...
Ni jambo la wakati tu mkuu,Kama unategemea mabadiliko kwenye tume ya jecha utarudi 2026 na comment chungu zaidi ya hii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!!! Huwezi kutegemea matokeo tofauti kwa kutumia njia ile ile.
tatizo tunaweza kukumbuka kila gumu tulilopitia na maamuzi sahihi yakafanyika lakini tusipewe tulichokichagua.Ni wakati wa sisi sasa kubadilisha mfumo wa serikali hii mbovu..
2025 tusisahau magumu tunayopitia na kufanya chaguo sahihi.
Wapinzani ni wakati wao wa kujenga ngome imara sasa,mwanga unaonekana kwa upande wao. .
Wasibugi kupokea mamluki wa chama tawala.
Kama jambo la wakati toka mwaka 2O15 CCM ingeshaondolewa madarakani mzee. Kilichokuwa kimebakia ni kukabidhi nchi kwa Chadema tu.Ni jambo la wakati tu mkuu,
Matokeo ya Mwigulu mwenye PhD ya mchongo, hajui analofanya.View attachment 2342857
Picha hapo juu inajieleza. Tafsiri nyepesi ya hizi tozo ni kwamba VAT imepanda mara 2. Zile stori za sijui nchi ni yetu sote...
Bajeti ya 2024 litatengwa fungu la kanga, kofia na t-shirt watanzania wakivipata hivi 2025 wimbo wa "mitano tena" utashika namba moja kwenye vinywa vyao2025 tusisahau magumu tunayopitia na kufanya chaguo sahihi.
Naona ni kubwa mno nitaipitia[emoji1545]Pitia Hii Ripoti ya IMF Mshana Jr View attachment 2342883
Nimeogopa sana .Pitia Hii Ripoti ya IMF Mshana Jr View attachment 2342883
Hapa ndiyo panatisha sana 😩Naona ni kubwa mno nitaipitia[emoji1545]
Kwanza ukijiuliza, unapoweka VAT kwenye miamala, hata ile mantiki ya VAT inatoweka. VAT ni kodi kutokana na ongezeko la thamani ya bidhaa. ONGEZA NA HUDUMA SIYO BIDHAA TUMakato ya Serikali, hata yapewe majina gani, ukweli ni kwamba hiyo ni kodi. Na kimsingi kwa mlipaji, malipo hayo hata yapewe mapambo gani, maana yake anatakiwa kutoa zaidi.
Hizi tozo, kama ilivyoneshwa kwenye jedwali, wangeweza tu kusema kuwa Serikali imeongeza VAT kwenye miamala ya fedha toka 18% mpaka 35%.
Kwanza ukijiuliza, unapoweka VAT kwenye miamala, hata ile mantiki ya VAT inatoweka. VAT ni kodi kutokana na ongezeko la thamani ya bidhaa. Sasa unapomtumia gela mama yako kwa mpesa, au benki au tigopesa, n.k., ni thamani gani iliyoongezeka kwenye hiyo pesa kutokana na kuituma?
VAT ilipowekwa wakati wa utawala wa Hayati Mkapa, ni bidhaa fulani tu ndiyo zilikuwa na VAT, leo ni kila kitu, halafu na tozo tena inawekwa juu yake!!
Watawala wanatakiwa kufahamu kuwa, kama Serikali inavyohitaji sana hela kwaajili ya kutekeleza majukumu yake, hata hawa wananchi wanaokamliwa sana kodi, nao wanatamani sana kuwa na hela ya kutekeleza majukumu ya msingi ya kwao wenyewe, familia zao na hata jamaa zao. Ni lazima ipatikane balance, ambapo Serikali inapata kinachowezekana na kilicho halali, bila ya kumwumiza na kumdunisha mlipa kodi.