Ikiwa tuliukataa ukoloni, kwa nini tusiikatae na mipaka tuliyowekewa na Wakoloni?

Ikiwa tuliukataa ukoloni, kwa nini tusiikatae na mipaka tuliyowekewa na Wakoloni?

Labda kama Afrika itaendelea kuongozwa na "vibaraka" vya Wazungu milele.

Kinyume na hapo,, kitakuja kuibuka kizazi kitakachosema "enough is enough"
Ni vizuri kuota.

Hata Africa ikiongozwa na waafrika wenyewe bila vibaraka wa wazungu wala wa Asia, Afrika moja bado ni ndoto tu za mchana.
 
Watanzania hawapendi waafrika wenzao kila wakiwaona wanadhani ni madini yao wamekuja kuibiwa. Na ujuha huu unadhani utakaa uone Africa ikiungana?
 
Back
Top Bottom