Ikiwa tuliukataa ukoloni, kwa nini tusiikatae na mipaka tuliyowekewa na Wakoloni?

Labda kama Afrika itaendelea kuongozwa na "vibaraka" vya Wazungu milele.

Kinyume na hapo,, kitakuja kuibuka kizazi kitakachosema "enough is enough"
Ni vizuri kuota.

Hata Africa ikiongozwa na waafrika wenyewe bila vibaraka wa wazungu wala wa Asia, Afrika moja bado ni ndoto tu za mchana.
 
Unataka kusema Wazungu ndiyo walioleta amani Afrika?
Hapana, mataifa ya Africa yalikuwa madogo na mengi sana... Rasilimali zingekuwa changamoto.

Just like European countries zilivowahi kuwa na Serikali
 
Watanzania hawapendi waafrika wenzao kila wakiwaona wanadhani ni madini yao wamekuja kuibiwa. Na ujuha huu unadhani utakaa uone Africa ikiungana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…