Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupiga CHABOMadhara yake ni makubwa au utaishia kudharirika huko mbeleni.Moyo haudanganyi ....kama ni tamaa zakupa nguvu na ukishatimiza unajutia bas Hilo jambo acha mara Moja
Kama unapiga nyeto...usipoacha nguvu za kiume kukupotea kutakuumbua
Unalala na housegal....mimba au ukimwi utakuumbua na ndoa Chali
Kama unalala na nduguzo wa damu....acha maana hakuna Siri duniani
Unakula au kuliwa tigo......acha utajaumbuka mbeleni
Unaiba.....acha utakuja umbuka mbeleni wanaua ndugu yangu
Unakula au kuliwa na mume au mke wa mtu.....vikinoga mtajiachia na kukamatwa
Unachepuka na mwanamke mcharuko wampa mimba....anakuvurugia ndoa na amani ya moyo wako....au umezaa na mume wa mtu asiyejali hata familia yake....utachina aisee.....starehe ya dk Moja yakugharimu maisha yote
Ni mengi mabaya tunafanya Ili tusipate majuto mbeleni tuache kutenda dhambi za makusudi ndugu zangu.🙏🙏🙏🙏
[emoji120][emoji120][emoji120]Madhara yake ni makubwa au utaishia kudharirika huko mbeleni.Moyo haudanganyi ....kama ni tamaa zakupa nguvu na ukishatimiza unajutia bas Hilo jambo acha mara Moja
Kama unapiga nyeto...usipoacha nguvu za kiume kukupotea kutakuumbua
Unalala na housegal....mimba au ukimwi utakuumbua na ndoa Chali
Kama unalala na nduguzo wa damu....acha maana hakuna Siri duniani
Unakula au kuliwa tigo......acha utajaumbuka mbeleni
Unaiba.....acha utakuja umbuka mbeleni wanaua ndugu yangu
Unakula au kuliwa na mume au mke wa mtu.....vikinoga mtajiachia na kukamatwa
Unachepuka na mwanamke mcharuko wampa mimba....anakuvurugia ndoa na amani ya moyo wako....au umezaa na mume wa mtu asiyejali hata familia yake....utachina aisee.....starehe ya dk Moja yakugharimu maisha yote
Ni mengi mabaya tunafanya Ili tusipate majuto mbeleni tuache kutenda dhambi za makusudi ndugu zangu.[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Dah [emoji23][emoji23]SASA NYETO IMEINGIAJE APO WATU WENGINE JAU KWELI. UNAKUTA MTU UNAMUHESHIMU VIZURI TU....
Usirudie ww! Tutakupa kesi ya uhaini!🤣🤣🤣 Sorry