Ikiwa unafanya jambo ukishamaliza nafsi inakusuta.....Hilo jambo achana nalo

Kupiga CHABO
 
[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Sasa mjomba mbona ulikua na idea nzuri sema ukaharibu ulivoihusianisha na kudinyana.
 
Ukiona unatoka kwenye uzinzi na unamuangalia mkeo/mumeo na kujihisi mkosaji, wewe bado hujawa mzinzi...rudi kundini.
 
Ukiona unatoka kwenye uzinzi na unamuangalia mkeo/mumeo na kujihisi mkosaji, wewe bado hujawa mzinzi...rudi kundini.
🤣🤣🤣 Ni sahihi kabisa mkuu....wokovu unamhusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…