Ikiwa wameweza kumteua marehemu, viongozi wetu wazuiwe kutukopea na kusaini mikataba, watauza Nchi!

mama kizimkazi out.
 
Mambo ya hovyo kabisa, huyu ndiye mtu tunayemtegemea atusaini mikata nyeti ya nchi? Elimu ni muhimu, huyu kiongozi elimu yake ndogo sana.Mpaka sasa alipaswa kujiuzulu
Sina HAKIKA ikiwa Katiba ya nchi atakuwa ameisoma yote na kuimaliza na kuielewa!!
 
SPIN(Propaganda) Misdirection and diversion ...Soon mtasahau habari za Mkataba wa Korea,maana habari ya marehemu ndio imekua jambo la kujadili..
Si Kweli,

Mada hii imeyaunga yote mawili.

Mtego huo umevukwa.
 
Hii sio hatari tu, bali inasikitisha pia. Cha hatari ni kwamba haya maamuzi hafanyi Rais peke yake, bali kuna timu nzima ya washauri nyuma yake ambao wote ni "Yes Men." Either kwa sababu wote ni wajinga au wasaka tonge binafsi. Na mbaya zaidi inaweza kuwa yote mawili kwa pamoja.

Obviously Kiongozi mkuu hana mengi anayoyajua juu ya international affairs. Na hao walio nyuma yake iwe makusudi au lah, ndio watakaolipoteza taifa.

There's no way hii Serikali itakuwepo baada ya 2025. No fuking way!
 
Kiongozi huyu apumzike 2025, tufanye uchaguzi makini na WA Hali,

Ni Kwa Maslahi mapana ya nchi.
Uchaguzi makini? Sahau hilo. Asilimia kubwa ya watanzania ni masikini wa hali na "umakini" wasiojua lolote na wote wanachagua CCM sio sababu inakidhi vigezo vya uongozi! Bali kama ushabiki wa timu za mpira wa miguu.
 
Wapo sahihi, wameamua kumtumia marehemu baada ya watu walio hai kukosa uweledi, pia uzuri n kwamba Mh. Marehemu atakuwa ana-deal na rais na sio wananchi moja kwa moja.
Na kweli... Bora wajaribu marehemu pengine akawa na tija kulikoni hawa wanaobadilishwa kila siku!
 
Kumlaumu SSH kwa teuzi hizo ni kupoteza muda. Mfumo mzima wa ccm umekomaza fuvu hautaki mabadiliko ya Katiba.
Katiba Mpya itakuwa na fursa ya kuweka taratibu za teuzi!
Yaani iweje unateua teua tu ovyo ovyo?
Yaani kumbe wanaoteuliwa hawajulikani walipo na wala hawafanyiwi mahojiano ya Hana kwa hana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…