Ikiwa wameweza kumteua marehemu, viongozi wetu wazuiwe kutukopea na kusaini mikataba, watauza Nchi!

Halafu unateuaje ukiwa nje ya nchi?
 
Jiwe alimteua la saba kuwa Mkurugenzi TPDC.

Sijui ni kwanini mwendazake anaonekana malaika ila sa100 ni mkosaji.

Hata jiwe alikuwa na makosa sana!
 
If the owners of the natural resources go around begging, then you should know there's something wrong with their mind....☹️
 
Huyo Slow slow hana lolote zaidi ya usukuma gang. Swala la kumteua marehemu ni tatizo kubwa
Labda nikumbushe tu, hiyo sukuma gang unayoikashifu Kila siku iliweza kufanya kazi mpaka Dunia ikafilisika.

Sasa nyie watoto wa mjini Zanzibar na Msoga ndo mmekamata usukani... Nchi inauzwa kama mmekuwa vichaa.

Sukuma gang iliitendea haki nchi!!

Achana nayo
 
Jiwe alimteua la saba kuwa Mkurugenzi TPDC.

Sijui ni kwanini mwendazake anaonekana malaika ila sa100 ni mkosaji.

Hata jiwe alikuwa na makosa sana!
Mada hii haiongelei Malaika,

Rudia kusoma vizuri.

Mbona humtaji Ben Mkapa au Nyerere katika teuzi zake?
 
If the owners of the natural resources go around begging, then you should know there's something wrong with their mind....☹️
Mwaka 1961 tulipopata uhuru,

Tanganyika ilikuwa juu kiuchumi kuliko korea ya kusini na kaskazini.

Miaka 60 baadae, tunawagongea Hoda kuomba msaada vijipesa kiduchu vya mboga,

Bahari IPO, unashindwankuwawezesga wavuvi wazawa, unaenda kuigawa Kwa wageni Ili waje kuwatimua wazawa!!

CCM ni cancer mbaya sana.
 
Mwandishi una uhakika uyo mtu amefariki.........au siku hizi waliofariki nao wanaongizwa kwenye teuzi
Unahitaji kuhudhuria Maziko Ili ihakikishe?
 
Leo hii huyu SA100 kama unampa awe mkuu wa wilaya bado itamshinda Tu sembuse kuongoza nchi?
Maza Kwakifupi hakuna kitu anachojua ni kama boya Tu baharini
Mnamuonea Bure tu ,kiongozi ni taswira ya anaowaoongoza ,kama sisi wenyewe tumeshindwa kuwa siriasi nani atatuchukulia siriasi?.
BI mkubwa endelea hapo hapo mpaka akili zitukae sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…