Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,464
- 3,379
Andaa ushahidi usio na mashaka wala kuungaunga.Langu ni hilo!
Vyeti feki, ni wahujumu nchi kama ilivyo Kwa mafisadi na wezi wengine!
Wameisababishia serikali hasara kubwa, Kwa elimu yao ndogo, wamesababisha vifo vya wananchi Kwa kutoa huduma chini ya kiwango
Endapo serikali itawalipa hao vyeti feki, nimekusudia kuipeleka mahamani serikali
Itajulikana ikiwa serikalini kuna wanufaika wa malipo haya chini ya mwamvuli wa wafoji vyeti
Anzia hapa kwanza. Ni nani aliwaingiza kazini? Huyo ndiye mwenye hatia wala siyo walio foji vyeti.Langu ni hilo!
Vyeti feki, ni wahujumu nchi kama ilivyo Kwa mafisadi na wezi wengine!
Wameisababishia serikali hasara kubwa, Kwa elimu yao ndogo, wamesababisha vifo vya wananchi Kwa kutoa huduma chini ya kiwango
Endapo serikali itawalipa hao vyeti feki, nimekusudia kuipeleka mahamani serikali
Itajulikana ikiwa serikalini kuna wanufaika wa malipo haya chini ya mwamvuli wa wafoji vyeti
Hivi alikuwa ana PhD "fweki"?Ndiyo napata habari. Maana wakati huo nilikuwa Ikwiriri kwa bibi.Anzia hapa kwanza. Ni nani aliwaingiza kazini? Huyo ndiye mwenye hatia wala siyo walio foji vyeti.
La pili Kumbuka aliyeanzisha zoezi Mwendazake naye alikuwa na PhD feki iliyopelekea kuuawa kwa Ben Saanane ambaye alikuwa anahoji uhalali wake.
Tatu zoezi lilikuwa batili kwa vile lilichaguwa watu wa kuwatoa. Kwa mfano Daudi Bashite aliendelea kuwa RC Dar es Salaam kwa kutumia cheti cha Paul Makonda. Said Bagaile aliendelea kuwa Waziri wa Utalii kwa kutumia cheti cha Hamis Kigwanggalla, Lameck Madelu aliendelea kuwa Waziri wa Sheria kwa kutumia cheti cha Mwigulu Nchemba.
Hizi double standard za Magufuli ndizo Mungu hapendi, na ndiyo maana Magufuli amekufa licha ya kuiba kura zote za 2020 na kuweka wabunge wake.
Inaonekana hata hujui chanzo cha tatizo lilikuwa ni wapi?!! Yaani mimi nimetumia cheti cha mtu cha elimu ya kidato cha nne, nikakitumia nikasomea kidato cha sita, nikafaulu, nikaingia chuo kikuu kusomea udaktari, nikapiga miaka yangu sita, nikafaulu vizuri, nikapiga masters yangu, nikapata kazi ya kutibu wagonjwa hapo utasemaje nimesababisha vifo kwa watu?Langu ni hilo!
Vyeti feki, ni wahujumu nchi kama ilivyo Kwa mafisadi na wezi wengine!
Wameisababishia serikali hasara kubwa, Kwa elimu yao ndogo, wamesababisha vifo vya wananchi Kwa kutoa huduma chini ya kiwango
Endapo serikali itawalipa hao vyeti feki, nimekusudia kuipeleka mahamani serikali
Itajulikana ikiwa serikalini kuna wanufaika wa malipo haya chini ya mwamvuli wa wafoji vyeti
Utashtaki na hao waliowaajiri? Maana kama wangekuwa makini na waadilifu wangegundua hivyo vyeti feki.Langu ni hilo!
Vyeti feki, ni wahujumu nchi kama ilivyo Kwa mafisadi na wezi wengine!
Wameisababishia serikali hasara kubwa, Kwa elimu yao ndogo, wamesababisha vifo vya wananchi Kwa kutoa huduma chini ya kiwango
Endapo serikali itawalipa hao vyeti feki, nimekusudia kuipeleka mahamani serikali
Itajulikana ikiwa serikalini kuna wanufaika wa malipo haya chini ya mwamvuli wa wafoji vyeti
Watalipwa Hadi wale HEWA waliokwisha fariki, wasiokuwepo popote Ili mifuko ya watu itune.Langu ni hilo!
Vyeti feki, ni wahujumu nchi kama ilivyo Kwa mafisadi na wezi wengine!
Wameisababishia serikali hasara kubwa, Kwa elimu yao ndogo, wamesababisha vifo vya wananchi Kwa kutoa huduma chini ya kiwango
Endapo serikali itawalipa hao vyeti feki, nimekusudia kuipeleka mahamani serikali
Itajulikana ikiwa serikalini kuna wanufaika wa malipo haya chini ya mwamvuli wa wafoji vyeti
Nakuunga mkono pamoja na kua sioni mahakama ya kutenda haki TanzaniaLangu ni hilo!
Vyeti feki, ni wahujumu nchi kama ilivyo Kwa mafisadi na wezi wengine!
Wameisababishia serikali hasara kubwa, Kwa elimu yao ndogo, wamesababisha vifo vya wananchi Kwa kutoa huduma chini ya kiwango
Endapo serikali itawalipa hao vyeti feki, nimekusudia kuipeleka mahamani serikali
Itajulikana ikiwa serikalini kuna wanufaika wa malipo haya chini ya mwamvuli wa wafoji vyeti
SUBIRI WENYE VYETI FEKI WAANZE KUKUTUKANA MIMI NILITAKA WASHTAKIWE KWA KUGUSHILangu ni hilo!
Vyeti feki, ni wahujumu nchi kama ilivyo Kwa mafisadi na wezi wengine!
Wameisababishia serikali hasara kubwa, Kwa elimu yao ndogo, wamesababisha vifo vya wananchi Kwa kutoa huduma chini ya kiwango
Endapo serikali itawalipa hao vyeti feki, nimekusudia kuipeleka mahamani serikali
Itajulikana ikiwa serikalini kuna wanufaika wa malipo haya chini ya mwamvuli wa wafoji vyeti
Naunga mkono hoja. Ilivyoelezwa na Serikali jana ni kwamba ilidhihirika watu hao walifoji vyeti. Sasa walipwe ile michango yao kwa mashirika ya hifadhi za jamii. Hili ni kinyume na sheria. Kufoji cheti ni kosa la jinai. Mtu kama huyo ni wa kushtakiwa tu. Badala yake, serikali ya Magufuli iliona iwasamehe. Wafukuzwe tu kazi. Sasa sijui Serikali ya sasa inatafuta nini kuwalipa watu hao ambao imeridhika walitenda kosa la jinai? Jee, hii ni kutafuta kuungwa mkono tu hata kama kuungwa mkono huko kutoke kwa majangiri?Langu ni hilo!
Vyeti feki, ni wahujumu nchi kama ilivyo Kwa mafisadi na wezi wengine!
Wameisababishia serikali hasara kubwa, Kwa elimu yao ndogo, wamesababisha vifo vya wananchi Kwa kutoa huduma chini ya kiwango
Endapo serikali itawalipa hao vyeti feki, nimekusudia kuipeleka mahamani serikali
Itajulikana ikiwa serikalini kuna wanufaika wa malipo haya chini ya mwamvuli wa wafoji vyeti
Harakisha kufungua kesiLangu ni hilo!
Vyeti feki, ni wahujumu nchi kama ilivyo Kwa mafisadi na wezi wengine!
Wameisababishia serikali hasara kubwa, Kwa elimu yao ndogo, wamesababisha vifo vya wananchi Kwa kutoa huduma chini ya kiwango
Endapo serikali itawalipa hao vyeti feki, nimekusudia kuipeleka mahamani serikali
Itajulikana ikiwa serikalini kuna wanufaika wa malipo haya chini ya mwamvuli wa wafoji vyeti
Wakati unatumia cheti cha huyo wa kidato cha nne hadi kufika udaktari majina ulikua unatumia yapi??Inaonekana hata hujui ,chanzo cha tatizo lilikuwa ni wapi?!!yaani mimi nimetumia cheti cha mtu cha elimu ya kidato cha nne,nikakitumia nikasomea kidato cha sita,nikafaulu,nikaingia chuo kikuu,kusomea udaktari,nikapiga miaka yangu sita,nikafaulu vizuri,nikapiga masters yangu,nikapata kazi ya kutibu wagonjwa hapo utasemaje nimesababisha vifo kwa watu?
Inshu kubwa haikuwa vyeti vya taaluma bali ni cheti cha kidato cha nne,Na hizo pesa wanazolipwa sio za serikali ni michango yao waliyochangia kwenye mifuko ya jamii.