Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah waonee huruma wenzako maana wanapewa michango yao tuLangu ni hilo!
Vyeti feki, ni wahujumu nchi kama ilivyo Kwa mafisadi na wezi wengine!
Wameisababishia Serikali hasara kubwa, Kwa elimu yao ndogo, wamesababisha vifo vya wananchi Kwa kutoa huduma chini ya kiwango.
Endapo Serikali itawalipa hao vyeti feki, nimekusudia kuipeleka mahamani Serikali.
Itajulikana ikiwa Serikalini kuna wanufaika wa malipo haya chini ya mwamvuli wa wafoji vyeti.
Huo mfano wako hauendani na suala linalojadiliwa!Likija jangiri livunje nyumba yako na kukuibia, tukushitaki na wewe kwa kutoweka vitasa vigumu zaidi? Hawa walifoji. Maana yake walifanya kitu kikaonekana kama ni cha kweli. Baada ya uchunguzi mkali ndipo kosa likadhihirika. Sasa aliyemuajiri huyu mfojaji ana kosa gani? Kama ikithibitishwa muajiri alifahamu kwamba hivyo vyeti ni vya kufoji, hapo kweli naye achukuliwe hatua.
Kila la heri katika kupeleka ushahidi usiokuwa na mashaka.Langu ni hilo!
Vyeti feki, ni wahujumu nchi kama ilivyo Kwa mafisadi na wezi wengine!
Wameisababishia Serikali hasara kubwa, Kwa elimu yao ndogo, wamesababisha vifo vya wananchi Kwa kutoa huduma chini ya kiwango.
Endapo Serikali itawalipa hao vyeti feki, nimekusudia kuipeleka mahamani Serikali.
Itajulikana ikiwa Serikalini kuna wanufaika wa malipo haya chini ya mwamvuli wa wafoji vyeti.
Na Kama hufahamu walitolewa wafanya kazi wenye uzoefu hasa katika sekta za elimu na afya wakabaki wenye vyeti lakini weupe kichwani.Anzia hapa kwanza. Ni nani aliwaingiza kazini? Huyo ndiye mwenye hatia wala siyo walio foji vyeti.
La pili Kumbuka aliyeanzisha zoezi Mwendazake naye alikuwa na PhD feki iliyopelekea kuuawa kwa Ben Saanane ambaye alikuwa anahoji uhalali wake.
Tatu zoezi lilikuwa batili kwa vile lilichaguwa watu wa kuwatoa. Kwa mfano Daudi Bashite aliendelea kuwa RC Dar es Salaam kwa kutumia cheti cha Paul Makonda. Said Bagaile aliendelea kuwa Waziri wa Utalii kwa kutumia cheti cha Hamis Kigwanggalla, Lameck Madelu aliendelea kuwa Waziri wa Sheria kwa kutumia cheti cha Mwigulu Nchemba.
Hizi double standard za Magufuli ndizo Mungu hapendi, na ndiyo maana Magufuli amekufa licha ya kuiba kura zote za 2020 na kuweka wabunge wake.
Wizi tu kuna watu watajilipa kupitia wenye vyeti fekiYaani hata sijaelewa kabisa Hawa watu wanatakiwa wafunguliwe mashtaka...
...
Kwa maana hiyo michango yao imekataliwa kupokelewa PSSSF. Kwa hiyo ndio maana wanarudishiwa.
Piga picha umeenda kulipa ada shule. Baada ya kuingiza pesa, unapeleka slip wanakwambia mtoto wako kafukuzwa. Ada si utarudishiwa?
Kama umekili kweli ulinunuwa cheti cha mtu cha elimu ya kidato cha nne,pia huwezi shindwa nunua cheti Cha Mtu Cha taaluma!! Kugushi ni kugushi tu no excuses,hiyo ni Jinai tayari!! Bora hata unge re siti ningekuona una akili kidogo!!Inaonekana hata hujui chanzo cha tatizo lilikuwa ni wapi?!! Yaani mimi nimetumia cheti cha mtu cha elimu ya kidato cha nne, nikakitumia nikasomea kidato cha sita, nikafaulu, nikaingia chuo kikuu kusomea udaktari, nikapiga miaka yangu sita, nikafaulu vizuri, nikapiga masters yangu, nikapata kazi ya kutibu wagonjwa hapo utasemaje nimesababisha vifo kwa watu?
Inshu kubwa haikuwa vyeti vya taaluma bali ni cheti cha kidato cha nne na hizo pesa wanazolipwa sio za Serikali ni michango yao waliyochangia kwenye mifuko ya jamii.
Waliowaajiri wao hawana kosa, maana wao siyo Wataalamu wa kujua documents fake zinafananaje!!Utashtaki na hao waliowaajiri? Maana kama wangekuwa makini na waadilifu wangegundua hivyo vyeti feki.
Usha sema Mtu alifogi vyeti,Sasa unamlipaje tena muhalifu huyo!!?Unasemaje wamesababisha hasara kwa serikali wakati alikuwa anafanya kazi analipwa kwa jasho lake
serikali inawalipa pesa zao walizo katwa kutoka mishahala yao katika mifuko ya jamii bila kuhusisha mwajiri
Wacheni walipwe ni haki yao hata kama walifoji vyeti wakati wengine wanaiba hadi trillion 1.5 aliyo hoji CAG haijulikani imetumikaje.
Wwe una uhakika gani kua kwenye makampuni binafsi hakuna watu wenye vyeti fake!!?? Tuanzie hapo kwanza!!Huo mfano wako hauendani na suala linalojadiliwa!
Unaweza kuniambia kwa nini kwenye kampuni binafsi hakuna wafanyakazi wenye vyeti feki?!
Hizo pesa siyo zao ni kodi zetu. Wame forge vyeti iliwajiendeleze au kupata ajira bottom line ni forgery. Acheni story.Inaonekana hata hujui chanzo cha tatizo lilikuwa ni wapi?!! Yaani mimi nimetumia cheti cha mtu cha elimu ya kidato cha nne, nikakitumia nikasomea kidato cha sita, nikafaulu, nikaingia chuo kikuu kusomea udaktari, nikapiga miaka yangu sita, nikafaulu vizuri, nikapiga masters yangu, nikapata kazi ya kutibu wagonjwa hapo utasemaje nimesababisha vifo kwa watu?
Inshu kubwa haikuwa vyeti vya taaluma bali ni cheti cha kidato cha nne na hizo pesa wanazolipwa sio za Serikali ni michango yao waliyochangia kwenye mifuko ya jamii.
Umeua kabisa broo, jioni tukutane Kirima bar and Night Club. Karibu Kuna bia na kuku wa kienyeji.Anzia hapa kwanza. Ni nani aliwaingiza kazini? Huyo ndiye mwenye hatia wala siyo walio foji vyeti.
La pili Kumbuka aliyeanzisha zoezi Mwendazake naye alikuwa na PhD feki iliyopelekea kuuawa kwa Ben Saanane ambaye alikuwa anahoji uhalali wake.
Tatu zoezi lilikuwa batili kwa vile lilichaguwa watu wa kuwatoa. Kwa mfano Daudi Bashite aliendelea kuwa RC Dar es Salaam kwa kutumia cheti cha Paul Makonda. Said Bagaile aliendelea kuwa Waziri wa Utalii kwa kutumia cheti cha Hamis Kigwanggalla, Lameck Madelu aliendelea kuwa Waziri wa Sheria kwa kutumia cheti cha Mwigulu Nchemba.
Hizi double standard za Magufuli ndizo Mungu hapendi, na ndiyo maana Magufuli amekufa licha ya kuiba kura zote za 2020 na kuweka wabunge wake.
hata hao akina jiwe walikuwa na vyeti feki na ndio maana akina Ben saa8 walipooji unajua nn kiilitokeaLangu ni hilo!
Vyeti feki, ni wahujumu nchi kama ilivyo Kwa mafisadi na wezi wengine!
Wameisababishia Serikali hasara kubwa, Kwa elimu yao ndogo, wamesababisha vifo vya wananchi Kwa kutoa huduma chini ya kiwango.
Endapo Serikali itawalipa hao vyeti feki, nimekusudia kuipeleka mahamani Serikali.
Itajulikana ikiwa Serikalini kuna wanufaika wa malipo haya chini ya mwamvuli wa wafoji vyeti.
Umesema kweli tupu! Hongera Sana!Anzia hapa kwanza. Ni nani aliwaingiza kazini? Huyo ndiye mwenye hatia wala siyo walio foji vyeti.