ticha kawaambia wanafunzi wataje kazi za wazazi wao
watoto wengi walitaja kazi za wazazi kuwa ni waajiriwa serikalini na wengine wamejiajiri
ilipofika zamu ya john hali ilikua hivi;
john; baba simjui ila mama anajiuza usiku kila siku
ticha; haraka nenda ofisi ya mwalimu mkuu ukamweleze hayo ya mzazi wako,halafu urudi hapa sasa hivi
punde john akarudi anacheka huku anakula chocolate
ticha; kasemaje?
john; kasema nimtajie namba ya simu ya mama!!
kama ticha ungekua ni wewe ungefanya nini??