Ikiwa Yanga watabeba kombe la CAF Shirikisho wataheshimika zaidi ya Simba iliyofuzu Makundi ya CAF CL mara 3

Ikiwa Yanga watabeba kombe la CAF Shirikisho wataheshimika zaidi ya Simba iliyofuzu Makundi ya CAF CL mara 3

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Ingekua vipi, ingekuwa vipi?

Navuta taswira kwa nadharia kwamba, Yanga ikiweza kubeba Kombe laCAF Shirikisho je, kwa hapa nchini watakuwa wazito zaidi kuzidi Simba waliofuzu makundi ya CAF CL mara 3 ndani ya miaka mitano?
 
Mleta mada nadhani una utindio wa ubongo, Kulinganisha timu iliyofuzu nusu fainali Caf na timu inayoishia robo fainali miaka nenda rudi ni sawa na kulinganisha ardhi na mbingu, Achilia mbali habari za kombe.
kuna mzani hapo , kombe moja ni caf cc na lingine ni caf cl.
 
Ingekua vipi, ingekuwa vp////

Navuta taswira kwa nadharia kwamba Yanga ikiweza kubeba kombe la caf shirikisho, Je kwa hapa nchini watakuwa wazito zaidi kuzidi simba waliofuzu makundi ya caf cl mara 3 ndani ya miaka mitano ?
Itategemea na akili za Utopwise kama waraongezeka wenye akili.
 
Kulinganisha timu iliyoweka rekodi kutinga nusu fainali mashindano makubwa Afrika na klabu inayoishia robo fainali pamoja na ushirikina wao ni kipaji pia.

IMG_20230507_140621.jpg
 
kuna mzani hapo , kombe moja ni caf cc na lingine ni caf cl.
kinachoiheshimisha yanga ni kwamba akishinda hilo kombe anakuwa klabu ya kwanza ktk taifa hili kushinda kombe la kimataifa na ndo malengo ya klabu,sio kushiriki ni kushinda...MAMBO YA MIZANI TUWAACHIE AKINA MANGI
 
Ingekua vipi, ingekuwa vp////

Navuta taswira kwa nadharia kwamba Yanga ikiweza kubeba kombe la caf shirikisho, Je kwa hapa nchini watakuwa wazito zaidi kuzidi simba waliofuzu makundi ya caf cl mara 3 ndani ya miaka mitano ?
Hiyo iko wazi kabisaa kabisaaaa.
Na si hivyo hata hiyo nusu fainali tu hakuna timu iliyowahi onja hapa nchini sembuze kutwaa ubingwa wa Afrika kwa level hiyo.
Yanga ndiyo kubwaaa kwa mafanikio ya uwanjani hadi sasa achana na ranking
 
si nasikia nao simba walifikia nusu fainali kombe hili hili ?
 
si nasikia nao simba walifikia nusu fainali kombe hili hili ?
Si kweli.
Hilo walisemalo (1993) kwamba walifika fainali si hili.
Lilikuwa kombe la kisiasa la kum-promte Bwanyenye Mashood Abiola. Mwaka huo bingwa alikuwa Stella Artois of Abijan. Nadhani lilikufa mwaka huo huo kwasababu hakuna rekodi za mabingwa ama ligi ya kombe hili kuanzia 1994 hadi 2004 lilipozikwa rasmi. Nafikiri
CAF CC limezaliwa 2004
Karibu sana.
 
Mpaka hapa tulipo tayari yanga ana mafanikio zaidi kuliko simba

By fact !! Yanga mpaka Sasa kashakusanya point 15 na bado yupi kwenye mashindano

Wakati simba yupo robo mara nne lakini ana point 35

Hii inamaanisha yanga akienda nusu mara tatu atakuwa na point 45 atakuwa kwenye top 5 Africa.

Niko pale mwaka 2025 tutarudi hapa kusonya tu 😀😀😀😀😀
 
Hakuna mafanikio yoyote Kwa timu ya mchezo wowote wa Ushindani kujinadi Kwa kufika hatua yoyote kwenye mashindano zaidi ya kutwaa kombe.

Ni fikra za kufeli ndizo zinawafanya mashabiki wetu wa kitanzania kuamini kufikia fainali, nusu fainali, robo au makundi ni mafanikio.

Mafanikio katika mpira wa miguu ni kutwaaa Mataji hakuna njia nyingine yoyote ya kujificha kwenye makundi, nusu, robo au fainali.
Timu zetu ziandaliwe kwenda kutwaa Mataji izi zingine zinazo pitia ni hatua tu na si mafanikio.
Waliofanikiwa waote hawajisifii Kwa kufika nusu au fainali sanasana kocha au kiongozi uta timuliwa.
 
Hapa mbumbumbu umejua kwel kujificha kwenye kichaka cha uzalendoo ila wajanja tushasanuka wewe ni kufa kiume fc
 
Back
Top Bottom