sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
kuna mzani hapo , kombe moja ni caf cc na lingine ni caf cl.Mleta mada nadhani una utindio wa ubongo, Kulinganisha timu iliyofuzu nusu fainali Caf na timu inayoishia robo fainali miaka nenda rudi ni sawa na kulinganisha ardhi na mbingu, Achilia mbali habari za kombe.
Je, kuna lolote hapo ambalo Simba amewahi kutinga nusu fainali?kuna mzani hapo , kombe moja ni caf cc na lingine ni caf cl.
Itategemea na akili za Utopwise kama waraongezeka wenye akili.Ingekua vipi, ingekuwa vp////
Navuta taswira kwa nadharia kwamba Yanga ikiweza kubeba kombe la caf shirikisho, Je kwa hapa nchini watakuwa wazito zaidi kuzidi simba waliofuzu makundi ya caf cl mara 3 ndani ya miaka mitano ?
,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Adeni rage ajengewe sanamu
kinachoiheshimisha yanga ni kwamba akishinda hilo kombe anakuwa klabu ya kwanza ktk taifa hili kushinda kombe la kimataifa na ndo malengo ya klabu,sio kushiriki ni kushinda...MAMBO YA MIZANI TUWAACHIE AKINA MANGIkuna mzani hapo , kombe moja ni caf cc na lingine ni caf cl.
Hiyo iko wazi kabisaa kabisaaaa.Ingekua vipi, ingekuwa vp////
Navuta taswira kwa nadharia kwamba Yanga ikiweza kubeba kombe la caf shirikisho, Je kwa hapa nchini watakuwa wazito zaidi kuzidi simba waliofuzu makundi ya caf cl mara 3 ndani ya miaka mitano ?
Whatever the case, kolo hana mafanikio zaidi ya Yanga labda kwa uchawi tukuna mzani hapo , kombe moja ni caf cc na lingine ni caf cl.
si nasikia nao simba walifikia nusu fainali kombe hili hili ?Hiyo iko wazi kabisaa kabisaaaa.
Na si hivyo hata hiyo nusu fainali tu hakuna timu iliyowahi onja hapa nchini sembuze kutwaa ubingwa wa Afrika kwa level hiyo.
Yanga ndiyo kubwaaa kwa mafanikio ya uwanjani hadi sasa achana na ranking
Labda nusu fainali ya mtandaoni na ungaunga cup πsi nasikia nao simba walifikia nusu fainali kombe hili hili ?
Si kweli.si nasikia nao simba walifikia nusu fainali kombe hili hili ?
Hapa mbumbumbu umejua kwel kujificha kwenye kichaka cha uzalendoo ila wajanja tushasanuka wewe ni kufa kiume fcHakuna mafanikio yoyote Kwa timu ya mchezo wowote wa Ushindani kujinadi Kwa kufika hatua yoyote kwenye mashindano zaidi ya kutwaa kombe.
Ni fikra za kufeli ndizo zinawafanya mashabiki wetu wa kitanzania kuamini kufikia fainali, nusu fainali, robo au makundi ni mafanikio.
Mafanikio katika mpira wa miguu ni kutwaaa Mataji hakuna njia nyingine yoyote ya kujificha kwenye makundi, nusu, robo au fainali.
Timu zetu ziandaliwe kwenda kutwaa Mataji izi zingine zinazo pitia ni hatua tu na si mafanikio.
Waliofanikiwa waote hawajisifii Kwa kufika nusu au fainali sanasana kocha au kiongozi uta timuliwa.