Uchaguzi 2020 Ikiwa zimebaki siku 10 kufikia mchaguzi mkuu

Uchaguzi 2020 Ikiwa zimebaki siku 10 kufikia mchaguzi mkuu

mama D

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
19,981
Reaction score
35,581
Tumesikia mengi na tunaendelea kusikia mengi kutoka kwa wagombea wa vyama vyote sasa na mwisho tukafanye maamuzi sahihi kwa kuchagua viongozi sahihi watakao weza kushirikiana na wananchi kwa maslahi ya sasa ya taifa letu na kwa vizazi vijavyo

Tukumbushane kuandaa kadi zetu sasa na kuhimizana kila mtanzania anaekidhi vigezo kwenda kupiga kura tarehe 28

Tuwaombee wagombea wetu wa vyama vyote katika ngazi zote kuanzia udiwani, ubunge na urais; Mwenyezi Mungu awajaalie afya na amani ili tuweze kukamilisha zoezi hili kikatiba

Mwenyezi Mungu atujalie watanzania wote afya njema, atuepushe na majanga ya aina yoyote ili tuweze kutimiza wajibu huu wa kuchagua viongozi bora watakaotuongoza kwa miaka mitano ijayo

Maendeleo hayana vyama

Mungu ibariki Tanzania
 
Back
Top Bottom