Sky, lugha mama, lugha.Haya maisha ya kulipa kodi haya, kodi yenyewe laki tano kwa mwezi.
Ulitakuwa uikipe 01/01, ndiyo kwanza unefanikiwa juukamara yote leo. Inamaana una wiki moja tu ya kulala kwa amani kablavya kukohoa kodi ya February.
Maneno ya maana sana haya mkuu,Kunacmtu amejenga kinyerezi sehemu anakotafutia mkate ni Mbweni sasa jiulize kama hio ni akili au la?Sky, lugha mama, lugha.
"Unefanikiwa juukamara yote"????[emoji1]
Kodi ya nyumba inatesa si Mchezo, hapo kuna wengine wanaishi nyumba zao lakini ni sawa na kulipa kodi tu.
Mtu anaishi gongo la mboto na ana gari linatumia mafuta elfu 15 kwa siku. Kwa mwezi anatumia mafuta ya laki 3.
Ukipata nyumba ya national housing kuanzia ilala mpaka mjini kwa laki 3 na 50 bora upange halafu upangishe nyumba yako, hela utakayopata unalipia kodi na familia inaondokana na adha ya kuamka saa kumi alfajiri.
Mng'ato, akina mama wanapata shida sana.Maneno ya maana sana haya mkuu,Kunacmtu amejenga kinyerezi sehemu anakotafutia mkate ni Mbweni sasa jiulize kama hio ni akili au la?
Kweli kabisa.Waliojenga wengi walijenga kutokana na uchungu wa kulipa kodi