Ikiwezekana jenga nyumba yako

Ikiwezekana jenga nyumba yako

Haya maisha ya kulipa kodi haya, kodi yenyewe laki tano kwa mwezi.
Ulitakuwa uikipe 01/01, ndiyo kwanza unefanikiwa juukamara yote leo. Inamaana una wiki moja tu ya kulala kwa amani kablavya kukohoa kodi ya February.
Sky, lugha mama, lugha.

"Unefanikiwa juukamara yote"????[emoji1]

Kodi ya nyumba inatesa si Mchezo, hapo kuna wengine wanaishi nyumba zao lakini ni sawa na kulipa kodi tu.

Mtu anaishi gongo la mboto na ana gari linatumia mafuta elfu 15 kwa siku. Kwa mwezi anatumia mafuta ya laki 3.

Ukipata nyumba ya national housing kuanzia ilala mpaka mjini kwa laki 3 na 50 bora upange halafu upangishe nyumba yako, hela utakayopata unalipia kodi na familia inaondokana na adha ya kuamka saa kumi alfajiri.
 
Maneno ya maana sana haya mkuu,Kunacmtu amejenga kinyerezi sehemu anakotafutia mkate ni Mbweni sasa jiulize kama hio ni akili au la?
 
Maneno ya maana sana haya mkuu,Kunacmtu amejenga kinyerezi sehemu anakotafutia mkate ni Mbweni sasa jiulize kama hio ni akili au la?
Mng'ato, akina mama wanapata shida sana.

Fikiria mama ambaye amemaliza likizo ya uzazi. Anatakiwa achelewe kuja kazini kidogo na awahi kutoka ili akamnyonyeshe mtoto. Kama anakaa mbali, inabidi awahi kutoka nyumbani kuliko inavyotakiwa.

Tanzania tunahitaji usafiri wa mwendo kasi sehemu zote. Nilipinga sana mwendo kasi lakini kwa kweli ni mkombozi kwa wananchi.
 
Kama unakaa kwako nje ya mji etc kongowe,kinyerezi,bunju n.k na unatumia usafiri binafsi bora upange tu k/nyama tu maana gharama ya mwarabu(wese) Kwa mwezi ni zaidi ya kodi,bado inatakiwa uamke mapema sana kuepuka foleni....kama unatumia usafiri wa umma ni bora ukae kwako.
 
Back
Top Bottom