danmarc
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 567
- 115
Habarini ndugu mimi nina hisi sio bure kabisa ni lazima kuna michezo michafu inayoendelea tcu .nilishangaa jana walipotoa majina ya watu waliofaulu kufanya transfer na bahati nzuri walikuwa wanaweka na cutoff points za wanafunzi husika.
Swali langu hasa lipo hapa: kuna wanafunzi niliona wana pointi 11.5 sasa nikajaribu kuainisha grade za masomo ambayo huyu mtu alizipata ili zilete jumla ya 11.5 lakini nilishindwa.nilijaribu kuassume labda huyu mtuu alipata A,A,E kwenye masomo yake lakini nikagundua grade hazifiki 11.5 nimejaribu kupanga grades kwa mitindo tofautitofauti lakini wapi.
sasa naombeni na nyinyi mnisaidie kufanya research huyu mtu mwenye pointi 11.5 grades zake za yale masomo matatu zilikuje na kama ikishindikana basi ni dhahiri kuna mchzo mchafu tcu na kama ni hivyo kuna ulazima wa kujumuishwa pia kwa matokeo yao ya form six ikiwa ni pamoja na namba zao ili tufichue wizi wao k.naamini nimeeleweka wadau nawasilisha .please kama huna pointi ni vyema ukatulia