Iko haja ya kuweka form six index number ya wanafunzi wanaokuwa admitted vyuoni

Iko haja ya kuweka form six index number ya wanafunzi wanaokuwa admitted vyuoni

danmarc

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2012
Posts
567
Reaction score
115
Habarini ndugu mimi nina hisi sio bure kabisa ni lazima kuna michezo michafu inayoendelea tcu .nilishangaa jana walipotoa majina ya watu waliofaulu kufanya transfer na bahati nzuri walikuwa wanaweka na cutoff points za wanafunzi husika.

Swali langu hasa lipo hapa: kuna wanafunzi niliona wana pointi 11.5 sasa nikajaribu kuainisha grade za masomo ambayo huyu mtu alizipata ili zilete jumla ya 11.5 lakini nilishindwa.nilijaribu kuassume labda huyu mtuu alipata A,A,E kwenye masomo yake lakini nikagundua grade hazifiki 11.5 nimejaribu kupanga grades kwa mitindo tofautitofauti lakini wapi.

sasa naombeni na nyinyi mnisaidie kufanya research huyu mtu mwenye pointi 11.5 grades zake za yale masomo matatu zilikuje na kama ikishindikana basi ni dhahiri kuna mchzo mchafu tcu na kama ni hivyo kuna ulazima wa kujumuishwa pia kwa matokeo yao ya form six ikiwa ni pamoja na namba zao ili tufichue wizi wao k.naamini nimeeleweka wadau nawasilisha .please kama huna pointi ni vyema ukatulia
 
Ukifaulu GS unahesabiwa una 0.5.
Kwahiyo kama kwenye masomo ya combination mathalani PCB una AAA=15points na Gs umefaulu=0.5.
Ukijumlisha points unapata (15+0.5)=15.5points.
 
Angalia kitabu "Undergraduate Admission Guide Book 2014/2015" ukurasa wa 10 na Table 3: Converting grades from New system to Old System to be used for Admission
 
Anhaa hapo sawa sikujua kama gs nayo ina hesabiwa sasa kuna na hawa wengine wana ufaulu wa juu sana sasa nashindwa kuelewa kwa nini hawakuchaguliwa mara ya kwanza maana kuna wengine wana hadi pointi 12
 
Inategemea na Vyuo alivyochagua na Competition Yake...
 
Habarini ndugu mimi nina hisi sio bure kabisa ni lazima kuna michezo michafu inayoendelea tcu .nilishangaa jana walipotoa majina ya watu waliofaulu kufanya transfer na bahati nzuri walikuwa wanaweka na cutoff points za wanafunzi husika. Swali langu hasa lipo hapa: kuna wanafunzi niliona wana pointi 11.5 sasa nikajaribu kuainisha grade za masomo ambayo huyu mtu alizipata ili zilete jumla ya 11.5 lakini nilishindwa.nilijaribu kuassume labda huyu mtuu alipata A,A,E kwenye masomo yake lakini nikagundua grade hazifiki 11.5 nimejaribu kupanga grades kwa mitindo tofautitofauti lakini wapi .sasa naombeni na nyinyi mnisaidie kufanya research huyu mtu mwenye pointi 11.5 grades zake za yale masomo matatu zilikuje na kama ikishindikana basi ni dhahiri kuna mchzo mchafu tcu na kama ni hivyo kuna ulazima wa kujumuishwa pia kwa matokeo yao ya form six ikiwa ni pamoja na namba zao ili tufichue wizi wao k.naamini nimeeleweka wadau nawasilisha .please kama huna pointi ni vyema ukatulia

Hili litakua si tatizo la tcu, bali ni chuo alichopangiwa.

Ukiangalia selection kwenye tovuti za vyuo vyote, utagundua kua ni UDSM tu ndio inayotoa matokeo yote (o'level and A' level results) pamoja na cut off points.

Tusiweke lawama kwa tcu, tuvilaumu vyuo vyetu! Kwanini udsm wamefanya hivyo, wakati vyuo vingine wagome?
 
Habarini ndugu mimi nina hisi sio bure kabisa ni lazima kuna michezo michafu inayoendelea tcu .nilishangaa jana walipotoa majina ya watu waliofaulu kufanya transfer na bahati nzuri walikuwa wanaweka na cutoff points za wanafunzi husika. Swali langu hasa lipo hapa: kuna wanafunzi niliona wana pointi 11.5 sasa nikajaribu kuainisha grade za masomo ambayo huyu mtu alizipata ili zilete jumla ya 11.5 lakini nilishindwa.nilijaribu kuassume labda huyu mtuu alipata A,A,E kwenye masomo yake lakini nikagundua grade hazifiki 11.5 nimejaribu kupanga grades kwa mitindo tofautitofauti lakini wapi .sasa naombeni na nyinyi mnisaidie kufanya research huyu mtu mwenye pointi 11.5 grades zake za yale masomo matatu zilikuje na kama ikishindikana basi ni dhahiri kuna mchzo mchafu tcu na kama ni hivyo kuna ulazima wa kujumuishwa pia kwa matokeo yao ya form six ikiwa ni pamoja na namba zao ili tufichue wizi wao k.naamini nimeeleweka wadau nawasilisha .please kama huna pointi ni vyema ukatulia
GS mkuu
 
Ahsanteni kwa maelezo yenu.

Ila naitaji msaad pia katika hili. Mimi pia niliponzwa na hii competimtion ila nilikuja kuchaguliwa degree ya IT pale ifm ila nimebadili mawazo na sasa nataka niende diploma lakini pia nina mawazo ya kuapply tena mwakani nijaribu bahati yangu.

Sasa, Je nikishaingizwa kwenye mfumo wa nacte nitaweza tena tuma maombi ya chuo kikuu mwakani au ndo nisahau?

Maana mimi bado nina ndoto za kuchukua degree yeyote ya kozi ya afya
 
Dah hiyo haina tabu mi nakupa ushahidi huyu mdogo wangu aliyepata transfer ya pharmacy mwaka huu last year alichaguliwa kampala b f pharmacy hakwenda na mwaka huu ameaply upya chuo kapata na mkopo kapata..kama upo dar nenda udsm, kampala, muhas hata kcmc yan bado nafasi ni nyng wao watakukonekt tcu na utapata admission however that we are out of time.

Make a wise choice and note that joining diploma is like time wastage when u hav qualification of joining university.,pia wazee wa olas/heslb watakudaka kwny mkopo ila hakuna wa koz za afya aliyepta 4m6 akakosa mkopo otherwise loan form labda ilikuw na error au hakuomba kabsa
 
Hivi mwaka huu hakuna mwenye div 3 anae ruhusiwa kusomea degree yeyote kwenye afya?

Maana kuna wengi wametemwa na wana cutofpoint znazo takiwa na vyuo husika.
 
Hivi mwaka huu hakuna mwenye div 3 anae ruhusiwa kusomea degree yeyote kwenye afya?
Maana kuna wengi wametemwa na wana cutofpoint znazo takiwa na vyuo husika
Wapo mkuu
 
Hivi mwaka huu hakuna mwenye div 3 anae ruhusiwa kusomea degree yeyote kwenye afya?
Maana kuna wengi wametemwa na wana cutofpoint znazo takiwa na vyuo husika

wapo wengi sana hata kwny transfer kuna point 7.5 mkuu
 
Hivi mwaka huu hakuna mwenye div 3 anae ruhusiwa kusomea degree yeyote kwenye afya?
Maana kuna wengi wametemwa na wana cutofpoint znazo takiwa na vyuo husika

dah wapo mwanang tena kuna jamaa alichagua nursing kcmc na ana 3 ya point 12 kapata ila me nina 3 ya point 11 nimekosa na tumesoma wote pcb shule moja, ko hlo ni suala la bahati tu mkuu.
 
Back
Top Bottom