Iko wapi haki ya wana-udom

Iko wapi haki ya wana-udom

Oyo niaje mnatuletea mipasho kwenye mambo ya msingi ebu ongeeni points za msingi,by da way ambao hamjapata pesa ingieni mtambon make suluhisho ni kugoma kwa kwenda mbele
 
Kuna watu wa ajabu sana eti unaiponda Udom kwa lipi baya? Na ikumbukwe kua zile hela alizochangiwa Jk ni pesa hizohizo zilitoka CCM kama milioni 20 ndipo wana CCM UDOM baadhi yao wakakusanyika kumchangia Jk sasa dhana ya kua wana Udom ni CCM nani kakwambieni nyie mnaoiponda Udom? Kwa taarifa zenu tu hao ma Prof na ma Dk waliopo Udom ndio hao walowafundisha nyie sasa kuiponda Udom sio sahihi kwani kuna Taasisi tayari wanazikubali Product za Udom acheni unafiki nami ni Product ya Udom na kazini wananikubali sana hao vijana walosoma Ud,MU etc,tusiwe hvyo wote tuwaTz
 
Poleni udom,usaliti wenu kwa wenzenu waliofukuzwa unawatafuna.
 
naijua Udom zaidi ya unavoijua..sipotoshi kijana..nasema nachokijua,ku graduate udom haimanishi unaijua sana...chuo cha kata kile kwa ajil ya degree za vodafasta,mtaishia kukichangia chama tu.

Huijui Udom thats why unahara kwa mdomo. Its to bad mtu mzima kugeneralize mambo ka mtoto mdogo! Badilika mxx....!
 
Narudia tena mtaishia hivyohivyo?! Kumbe unaiponda UDOSO kisa ya hicho ki-research chako kwa nini walikuwa wanashindwa kuzuia MIGOMO?! We ulikuja kufanya research mi nilikuwa kwenye system..nina doubt ka ulienda kufanya reseach ila ulienda kutembelea washkj.Hao wakn Ambrose na Singo walikuwa ni Marais wa collage ya Social Sciences na sio UDOM.. Af soma post yangu vizuri, nilichosema mi nimegraduate pale na nilikuwa Waziri, So vitu vingi nilivyokuwa vinaendelea navijua..Ningekuona wa maana ka ungekuja na sababu kwa nini elimu ya pale mbovu..
1.Kwa nini wazuie migomo ka watu wanasababu za kugoma!?
2. Kuhusu products za UDOM kuwa hafifu, huwezi kutoa conclusion kwa chuo ambacho kimetoa products mara mbili na product moja tu ndo ipo kwenye soko la ajira
3. Kwa bahati mbaya sijasikia muajiriwa toka UDOM amekuwa fired kisa kashindwa kafanya kazi...
4. Nyie mliotoka kwenye vyuo vya maana mmefanya issue gani kwa taifa hadi leo hii
5. Graduates wa hivyo vyuo vyenu vya taifa mbona wapo wa kutosha huko mitaani imekuwaje hawana kazi hadi leo?!
6. Unataka kuniambia Marketing, Accounting au Sociology jinsi inavyofundishwa UDSM, MU. SUA ni tofauti na UDOM?!
NB:- Swala la uwezo wa kufikiri ka unavyodai hausababishwi na chuo bali ni juhudi za mtu binafsi na misingi aliojengewa toka mwanzo, manaake hamna sehemu inayofundisha mtu jinsi ya kufikiri,.KWANI HUYU RAIS WENU KASOMA CHUO GANI!? Si regret kwa kusoma pale but naji proud sababu nilichokitalajia nimekipata tena +ve

Thank u! Umemjibu vizuri mpaka nimesisimka! Niko UDOM and am proud to be here cuz i knw am fulfiling part of my dreams. Pamoja na mapungufu yake ila naweza kusema udom is the best kwani hata hvyo vyuo vya taifa vilianza kwa tabu hz hz so mtu hawezi jibrag na kareseach kake tena alikokafanyia chimwaga na akanifanya eti nijickie vibaya. Udom ni chuo tena kikuu kwani kisomwacho hapa hakipishani na wanachosoma wengne cjui sua, ud au wapi, same content bt in diferent situations, circumstances, enviroments etc!
 
Back
Top Bottom