Iko wapi ndege ya Malysia MH 370? ep 2

Iko wapi ndege ya Malysia MH 370? ep 2

Umasikini wa fikra

Senior Member
Joined
Aug 17, 2017
Posts
102
Reaction score
59
1ec2000dadd2094b8f77ac3f061d56b1.jpg


Ndege hiyo haijadondoka kokote pale, haijazama baharini, Kisanduku cheusi nacho kimakata mawasiliano yake ghafla,


IMETOWEKA ANGANI.


NI VIPI NDEGE INAWEZA KUTOWEKA HEWANI?




Uwezekano mkubwa ni kwamba ndege hiyo imetekwa kwa njia ya Remote Control na kupelekwa kutua mahala ambapo mtekaji anataka itue.


Hakuna kingine chochote kinacho weza kuingia akilini kwamba ndege imetoweka kwenye anga na isifahamike ilipo.


6a64e7b682e1a4f434e59cf0fc8cc2f3.jpg



Watafiti wengine wamefikia kusema ni wapi ndege hiyo ilipo sasa. Wanasema ipo kwenye kiwanja cha jeshi cha Marekani kilichomo sehemu fulani kwenye bahari ya hindi, mahala hapo panaitwa DIEGO GARCIA. Sina mpango wa kuelezea madai hayo hapa, labda wakati mwingine lakini mwenyewe kwa wakati wako unaweza kutembelea ukurasa huu na kujishibisha maelezo na kuyapima mwenyewe kama mwandishi yupo sahihi ama la, ukurasa ni

Malaysia’s Flight 370: All Eyes on Diego Garcia

All Eyes On Diego Garcia | Alternative

News headlines: Alert! Malaysian Plane Landed At Diego Garcia

2a34ad53e63c5c62fad616d76f458489.jpg


Labda swali la msingi sasa ni WHY?


Kwanini aliyenyuma ya mchezo huo aamue kufanya hivyo?

Ninacho ona mimi binafsi ni kwamba huo ni mwanzo wa vita vipya, au mwanzo wa adui mpya wa kutengenezwa.

Ninacho maanisha hapa ni hichi,


Utakumbuka kipindi fulani kwenye historia kulikuwa na kitisho cha Nyuklia, matokeo yake tukatengenezea UN na kupewa mamlaka ya kupitiliza.

803cc5de64a9cddaccf38bbae5835b9d.jpg


Labda swali la msingi sasa ni WHY?


Kwanini aliyenyuma ya mchezo huo aamue kufanya hivyo?

Ninacho ona mimi binafsi ni kwamba huo ni mwanzo wa vita vipya, au mwanzo wa adui mpya wa kutengenezwa.

Ninacho maanisha hapa ni hichi,


Utakumbuka kipindi fulani kwenye historia kulikuwa na kitisho cha Nyuklia, matokeo yake tukatengenezea UN na kupewa mamlaka ya kupitiliza.

75f0f77c3a83860fc909dd247dd31d73.jpg


Adui kutoka sayari nyingine, kumbuka atakuwa ni adui hewa, hatokuwepo kabisa, kama ambavyo HAKUNA KITU KINACHO ITWA UGAIDI KAMA KINAVYO SEMWA, Ipokuwa adui huyo atakuwa ni muhimu awepo ili kukamilisha kazi ambayo haiwezi kufanywa na VITA DHIDI YA UGAIDI

40bfcbd7423340202fd699aec97ace0d.jpg


KAZI YENYEWE NI KUWAONGANISHA WALIMWENGU WOTE DHIDI YA ADUI MMOJA KUTOKA NJE YA SAYARI YETU.

SASA NDEGE YA MALYSIA WATATUJIA NA TAARIFA NA KUTUAMBIA NI VIUMBE WA SAYARI NYINGINE NDIYO WALIYO ITEKA NDEGE HIYO, ABIRIA NAO WATAPATIKANA HAI NA WATATHIBITISHA HILO KWAMBA WALIKUWA NI MATEKWA WA VIUMBE KUTOKA SAYARI NYINGINE, MATUKIO MENGINE MAKUBWA ZAIDI YA HILI YATAFUATA NA MATOKEO YAKE ITABIDI BINADAM TUUNGANE KULILINDA ANGA LETU DHIDI YA VIUMBE WAVAMIZI ....



UNAKUMBUKA SERIES INAYO KWENDA KWA JINA LA THE EVENT ..... HUWEZI ACHA KUITIZAMA TAMTHILIA HII MPAKA UJUE MWISHO WAKE NI NINI, LAKINI KWENYE NUKTA MOJA KWENYE TAMTHILIA HIYO NDEGE INAPOTEA ANGANI MCHANA KWEUPE ... BAADAE INAKUJA KUFAHAMIKA KUWA NI VIUMBE KUTOKA SAYARI YA MBALI NDIYO WALIYO FANYA TUKIO HILI ... VIPI INAFANANA NA TUKIO LA KWELI ULILOONA CNN?




Sent using Jamii Forums mobile app
 
the event ni bonge la series hadi first lady wa us alikuwa alien!

never mistaken kindness with weakness
 
Hiko kisiwa pia ni moja ya CIA black sites, japo rasmi wanasema ni kituo cha kijeshi. Wamarekani walipewa na waingereza

Wamarekani na vituo vya kijeshi sehemu nyingi za dunia. Sijui wana nia gani?
 
Back
Top Bottom