Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,315
JF!Tangu 1:04 jioni nimekuwa nikinunua muda wa hewani kwa M-Pesa bila mafanikio hadi nimeenda kununua vcha dukani.Kulkn?
Sweetlady wakati mwingine tusiwe wepesi wa kulalamika bila kuwa responsible, hivi tangia jana umejaribu kuwauliza na umepewa jibu gani? Mimi kuna siku nilikosea nikatuma pesa kwa namba nyingine hapo hapo niliwapigia na pesa yangu kurudishwa.Bora wewe ni muda wa hewani, mimi kuna ndugu yangu mwanafunzi alikuwa na tatizo linalohitaji fedha ya haraka,nikamtumia kwa M- pesa jana asubuhi pesa ikaondoka kwangu ila kwake haijafika mpaka hivi leo....hawajaniletea msg yoyote wala.....inaboa sana siku hizi.
Sweetlady wakati mwingine tusiwe wepesi wa kulalamika bila kuwa responsible, hivi tangia jana umejaribu kuwauliza na umepewa jibu gani? Mimi kuna siku nilikosea nikatuma pesa kwa namba nyingine hapo hapo niliwapigia na pesa yangu kurudishwa.