Iko wapi nguvu ya m-pesa?

Iko wapi nguvu ya m-pesa?

Pastor Achachanda

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2012
Posts
3,023
Reaction score
1,315
JF!Tangu 1:04 jioni nimekuwa nikinunua muda wa hewani kwa M-Pesa bila mafanikio hadi nimeenda kununua vcha dukani.Kulkn?
 
Si upige huduma kwa wateja labda kuna tatizo la kiufundi taarifa ya matatizo ya mtandao wanapata kwenu wateja.
 
JF!Tangu 1:04 jioni nimekuwa nikinunua muda wa hewani kwa M-Pesa bila mafanikio hadi nimeenda kununua vcha dukani.Kulkn?

Bora wewe ni muda wa hewani, mimi kuna ndugu yangu mwanafunzi alikuwa na tatizo linalohitaji fedha ya haraka,nikamtumia kwa M- pesa jana asubuhi pesa ikaondoka kwangu ila kwake haijafika mpaka hivi leo....hawajaniletea msg yoyote wala.....inaboa sana siku hizi.
 
Mkuu hizi mpesa,tigopesa usiziamini hata kidogo mimi niliwahi lala giza nilinunua luku kwa mpesa ikawa usumbufu siku 3.pia kampuni ikifilisika ghafla utamdai nani na ile si bank?mind hawana deposit BOT
 
Bora wewe ni muda wa hewani, mimi kuna ndugu yangu mwanafunzi alikuwa na tatizo linalohitaji fedha ya haraka,nikamtumia kwa M- pesa jana asubuhi pesa ikaondoka kwangu ila kwake haijafika mpaka hivi leo....hawajaniletea msg yoyote wala.....inaboa sana siku hizi.
Sweetlady wakati mwingine tusiwe wepesi wa kulalamika bila kuwa responsible, hivi tangia jana umejaribu kuwauliza na umepewa jibu gani? Mimi kuna siku nilikosea nikatuma pesa kwa namba nyingine hapo hapo niliwapigia na pesa yangu kurudishwa.
 
Wamenambia nisubiri ndani ya masaa 24 itakuwa imerudishwa......kichekesho zaidi wananambia niwe naangalia salio langu la m'pesa mara kwa mara....wamesahau kuwa kila nikiangalia salio wanakata sh 50.....sasa kwa nini shida yote hiyo Sunshow?......afu mimi ninacholalamika hapa sio pesa kupotea ila ni pesa kuchelewa kumfikia mlengwa.....sio huduma ya haraka kama tulivyoitarajia hapo mwanzo...
 
Last edited by a moderator:
Jamani,tatizo sio kuwapigia voda,kinachosumbua ni hicho alichosema sweetlady yaani inaboa hadi huwa nakosa imani nao.Mwe
 
Back
Top Bottom