Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
ulikuwa ni ushenzi na uchawa wa wapambe na huku maza aki consolidate powerMlisema royal tour itatunyanyua kiuchumi na kuleta watalii lukuki na hivyo pato la taifa kunyanyuka.
Sasa kama royal tour ilikuwa muarobaini wa kulipatia taifa letu mapato sasa hizi tozo kandamizi za nini?
Mlipigia debe sana Royal tour kwa ushabiki wa kisiasa .Leo hii mnalia na kusaga meno.
Baada ya kuboost huo utalii mbona hazina pesa hakuna hadi imebidi mlete double taxation kwa jina la Tozo???Use na akili basi yaani investment ya tshs 7billiobs tu ilete unafuu wa maisha kwa nchi. Kwani wewe unajua utalii unachangia a percentage ngap ktk uchumi!? Daah pole sana.
Royal tour ililenga ku boost utalii tu na imefanya hivo..... na wapo waliofaidika kwa nafasi zao ktk sekta hiyo
Wewe ndiye hufikirii kabisa.Use na akili basi yaani investment ya tshs 7billiobs tu ilete unafuu wa maisha kwa nchi. Kwani wewe unajua utalii unachangia a percentage ngap ktk uchumi!? Daah pole sana.
Royal tour ililenga ku boost utalii tu na imefanya hivo..... na wapo waliofaidika kwa nafasi zao ktk sekta hiyo
Mbona awamu iliyopita hukusema.Kitu kinachoniudhi zaidi utasikia Mama katoa billion 50 za ujenzi wa daraja ..,.
Mama katoa trillion 3 za ujenzi wa daraja la Jangwani.
Ikiwa Mama ana uwezo wa kutoa mfukoni mwake fedha zote hizo sasa hizi tozo za nini !.
Huu upuuuzi wa kila jambo jema linalofanywa kunasibishwa na Mama wakati tunajua pasipo shaka maendeleo yote yanatokana na fedha kupitia kodi mbali mbali.
😁😁😁😁😁Mbona awamu iliyopita hukusema.
Hukusikia kauli ya "rais ametoa pesa?".
Magufuli ndio mwanzilishi wa huu ujinga,nifikiri Mama asingeingia katika hili dubwana la kujisifu hata kwa jambo lililo wazi.Mbona awamu iliyopita hukusema.
Hukusikia kauli ya "rais ametoa pesa?".
Kwani wewe hujashuhudia mafuriko ya watalii wakimiminika hapa nchini? Hujaona kuwa Jambo Hilo limechangiwa na royal Tour? Huoni kuwa vijana wamenufaika na ongezeko Hilo la wataliiroyal tour ilikuwa kumpa kick ssh haikuwa na malengo ya kuongeza wataliii. sasa toka lini watanzani tukawa na interest ya utaliii. filamu inaonyeshwa buree tukaangalie ....then what next
Ila wewe unamatatizo makubwa, kwani unazani msimamizi mkuu wa miradi ya maendeleo Ni Nani, unafikiri Nani kapewa mamlaka hayo kikatiba, unazani Ni kwanini kiongozi wa chini ikitokea kaharibu watu wanapaza sauti kwa Rais ili amuwajibishe, Rais ndio kila kitu na ndiye anayebeba sifa zote za kimafanikio,kwanini unasikia watu wakimsifia Hayati baba wa Taifa? Je alikuwa peke yake na kushika nafasi zote peke yake?Kitu kinachoniudhi zaidi utasikia Mama katoa billion 50 za ujenzi wa daraja ..,.
Mama katoa trillion 3 za ujenzi wa daraja la Jangwani.
Ikiwa Mama ana uwezo wa kutoa mfukoni mwake fedha zote hizo sasa hizi tozo za nini !.
Huu upuuuzi wa kila jambo jema linalofanywa kunasibishwa na Mama wakati tunajua pasipo shaka maendeleo yote yanatokana na fedha kupitia kodi mbali mbali.
Nani kakwambia hazina hakuna hela? Kama hakuna pesa watumishi wanalipwa mishahara toka hazina ya nchi gani? Wewe ndio msimamizi wa hazina? Acha maneno maneno ya uongo uongo hapaBaada ya kuboost huo utalii mbona hazina pesa hakuna hadi imebidi mlete double taxation kwa jina la Tozo???
Royal tour sio muujiza ila is real na matokeo yake ndio kama haya inaendelea kumimina watalii daily 👇Mlisema royal tour itatunyanyua kiuchumi na kuleta watalii lukuki na hivyo pato la taifa kunyanyuka.
Sasa kama royal tour ilikuwa muarobaini wa kulipatia taifa letu mapato sasa hizi tozo kandamizi za nini?
Mlipigia debe sana Royal tour kwa ushabiki wa kisiasa .Leo hii mnalia na kusaga meno.
Kama ni kick ilimpa kweli kweli kwenye sekta ya utalii..royal tour ilikuwa kumpa kick ssh haikuwa na malengo ya kuongeza wataliii. sasa toka lini watanzani tukawa na interest ya utaliii. filamu inaonyeshwa buree tukaangalie ....then what next