omary mziray
Member
- Jul 6, 2013
- 29
- 0
Kuwa na subira maana muda bado upo wa kwenda shule na pia mihula ya masomo imebadilikahivi wakuu wakowapi hawa wadaau wanaojiita WADAU WAELIMU na wanaopenda kuuza sura kwenye screen zetu za kideo kujafanya et wanatetet ummah huku wanaung'ong'a kwa kujifanya wanatetea elimu ya tanzania inashuku mpaka sasa hawa wadau waelimu ambao kuna haki elimu na wangne kibao mbnah hili la kidato cha tano wanalifumbia macho au hawa wadau wa elimu na wizara ya elimu ni founder wa hizi shule za private ambazo zimeanza kupokea wanafunz wao exactly matokeo ya kidato cha nne yalivyotoka.je moe iko w.
Jiulize wananchi wenyewe kwanza walichukua hatua gani baada ya matokeo mabaya ya form 4????
Na je;
Walichukua hatua gani baada ya walimu kugoma mwaka jana?????
Hii inaonesha kwamba watanzania wenyewe wamesinzia. Usiwapigie kelele ......pakikucha wataamuka wenyewe haya mambulula!!!!!
Pesa mbele kama kitambi
Kuwa na subira maana muda bado upo wa kwenda shule na pia mihula ya masomo imebadilika
Pesa mbele kama tai mzeeya .