IKO WAPI WIZARA Ya ElIMU NA WADAU WA ELIMU NCHINi

omary mziray

Member
Joined
Jul 6, 2013
Posts
29
Reaction score
0
hivi wakuu wakowapi hawa wadaau wanaojiita WADAU WAELIMU na wanaopenda kuuza sura kwenye screen zetu za kideo kujafanya et wanatetet ummah huku wanaung'ong'a kwa kujifanya wanatetea elimu ya tanzania inashuku mpaka sasa hawa wadau waelimu ambao kuna haki elimu na wangne kibao mbnah hili la kidato cha tano wanalifumbia macho au hawa wadau wa elimu na wizara ya elimu ni founder wa hizi shule za private ambazo zimeanza kupokea wanafunz wao exactly matokeo ya kidato cha nne yalivyotoka.je moe iko w.
 
Jiulize wananchi wenyewe kwanza walichukua hatua gani baada ya matokeo mabaya ya form 4????
Na je;
Walichukua hatua gani baada ya walimu kugoma mwaka jana?????
Hii inaonesha kwamba watanzania wenyewe wamesinzia. Usiwapigie kelele ......pakikucha wataamuka wenyewe haya mambulula!!!!!
 
Kuwa na subira maana muda bado upo wa kwenda shule na pia mihula ya masomo imebadilika
 
Bora brother SUGU awafanye kama alivyo mchana luge kupitia antvirus.
 
Jiulize wananchi wenyewe kwanza walichukua hatua gani baada ya matokeo mabaya ya form 4????
Na je;
Walichukua hatua gani baada ya walimu kugoma mwaka jana?????
Hii inaonesha kwamba watanzania wenyewe wamesinzia. Usiwapigie kelele ......pakikucha wataamuka wenyewe haya mambulula!!!!!

yaan watanzania mpaka wakati wa vitu wamesinzia...alaf siku ikifika ya mabadiliko wanapiga kelele tu huku wamekaa chini badala ya kusimama na kustres out

tutafika kwel mkuu
 
Kuwa na subira maana muda bado upo wa kwenda shule na pia mihula ya masomo imebadilika

yaan mkuu hatakama mihula ya shule imebadilika hawa vijana wangejua wap wanaenda then wajipange koz weng ya hawa vijana wazazi wao hawana hela mpaka wajipange so hawa wazazi wenye kima cha chini watapata wapi hela ikiwa wanafunzi watatakiwa waripot jully 20
 
Pesa mbele kama tai mzeeya .

kwa hali hii nchi kweli isha uzwah na mwenye nacho atazid kula good life asiyekuwa nacho atazidi teseka milele....na watu hawazinduk kwenye usingizi waliokuwa nao
 
Mkuu umekosea kidogo naomba nikusahihishe kuwa

TANZANIA HAIJAWAHI KUWA NA WIZARA YA ELIMU WALA HATA WADAU WA ELIMU TANGU NCHII HII IPATE UHURU 1961.
BALI TANZANIA INA WACHUMIA TUMBO WALIOJIVIKA VAZI LA WIZARA YA ELIMU NA UDAU WA ELIMU LAKINI WOTE NI NJAA NA WAPO KWA KAZI MAALUMU YA KUJAZA TUMBO.

Period.
 
nshachoka, wap ntapata majan5?, nataka nwe higher zaid ya kilimanjaro.
 
Back
Top Bottom