Ikoje Arsenal baada ya Wenger kuondoka?

GAZETI

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
5,286
Reaction score
6,736
Kelele za kumtaka wenger aondoke zilitapakaa kila kona kutoka kwa mashabiki wa
Arsenal, natamani kujua baada ya Wenger kuondoka mnaionaje Arsenal? Imeanza
kuonesha dalili ya kuwa mnavyotaka?
 
inaonekana itashinda ligi kuu ya malawi
 
Kelele za kumtaka wenger aondoke zilitapakaa kila kona kutoka kwa mashabiki wa
Arsenal, natamani kujua baada ya Wenger kuondoka mnaionaje Arsenal? Imeanza
kuonesha dalili ya kuwa mnavyotaka?
wala sio tunavotaka ishu Wenger kasepa angalau now transition lazima iwepo so tutapambana sana na hali yetu,,,,tujitoe kwenye ubingwa...tujikaze tuchukue Uefa kama Man UTD chini ya Special one Jose F Mou...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…